figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,541
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wanazitakia nini hizi mashine, si ni mzigo kulibeba kwenye uwanja wa mapambano?Baada ya Warusi kushindwa kuiiba hii mashine ya kifulia, wameamua kuipiga risasi
View attachment 2413677
Usihofu. Subiri utaona mchezo utakavyo chezwa. Ndo maana tulisema Mwezi wa Nov hauishi kabla Urusi hawajaondoka. Tuliona wamelegea tangu tarehe 01 Nov. Just relax my dearNina maana eastern bank of Dnipro river kwa maana mkoa wa Kherson wote. Maana hata Ukraine ni lazima waikomboe kwanza Zaporizhzhia kwanza ndo wataikomboa kherson yote.
Magari yapo. Kuna magari kazi yao ni kusafirisha mizigo tu. Ndo maana wakaiba hadi nafakaHivi wanazitakia nini hizi mashine, si ni mzigo kulibeba kwenye uwanja wa mapambano?
Basi inaelekea Askari wa Urusi wana njaa ya kufa mtuMagari yapo. Kuna magari kazi yao ni kusafirisha mizigo tu. Ndo maana wakaiba hadi nafaka
Leo wamechapwa sana, halafu walikuwa hawajibu sababu washafungasha mitambo na silaha ziahazimwa. Ratiba iliendelea kama kawaida upande wa Ukraine. Walishazidiwa nguvu ndo maana wakaondokaKamandi kuu ya Ukraine yasema kuwa Urusi haikuomba "Green corridor" ya kupitisha askari wao wakati wanakimbia Kherson, ndiyo maana Ukraine inawachapa licha ya kuretreat.
![]()
General Staff: Russia did not ask Ukraine for âgreen corridorâ to withdraw troops from Kherson
The command of the Russian armed forces did not ask the Ukrainian side to create a "green corridor" to withdraw troops from Kherson. â Ukrinform.www.ukrinform.net
Masikini tuBasi inaelekea Askari wa Urusi wana njaa ya kufa mtu
Shikamoo HIMARS. Ni siliha mujarabu sana iliyomzibua Mrussi kiburi chake. Hatokaa aisahau hii kitu. Mathalan ikatokea kwamba huko alikokimbilia Mrussi, mtu akatupa kikaratasi kimasihara chenye picha ya HIMARS, Mrussi akikiona lazima moyo uende mbio.Hii inaitwa HIMARS. Sasa zimewekwa sehemu nzuri ambayo hata Urusi walipokimbilia inafika
View attachment 2413584View attachment 2413585
Halafu mnatuambia Himars ni old technology kwa Marekani. Hiyo cutting-edge technology yake si ni balaa duniani?Hii inaitwa HIMARS. Sasa zimewekwa sehemu nzuri ambayo hata Urusi walipokimbilia inafika
View attachment 2413584View attachment 2413585
Aisee! Hongereni sana na tunawapongeza wapiganaji wa Ukraine kwa kazi nzito na iliyotukuka ilivofanyika na kupelekea ushindi wa kishindo. Hata wale Pro-Ukraine wa kule Umasaini ndani-ndani huko nimewasikia wakishangilia na kuimba kwa lugha ya kimasai ara'nanu-alo-Aaaa; Ukraine supat' Aaaa wakiwapongeza wapiganaji wa Ukraine. 👏 👏Hapa ni katikati ya Mji wa Kherson. Hadi kufika kesho asubuhi, Vikosi vyote vitakuwa hapa. Askari wa Ardhini wameshafika.
View attachment 2413463