Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wolfhound na Mastiff MRAPs za Uingereza zikielekea Kherson. Halafu hizi Mastiff MRAPs ni landmines resistant
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi waliacha wameharibu Minara ya TV, Simu na Radio ili kuharibu Mawasiliano. Sasa hivi technology ni kubwa sana... Yote itatengenezwa upya. Hawa jamaa waharibifu wamejawa na roho mbaya ya wivu
Your browser is not able to display this video.
 
Wananchi wa Kherson hawaamini macho yao. Wajua washanyang'anywa ardhi yao.
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi waliacha wameharibu Minara ya TV, Simu na Radio ili kuharibu Mawasiliano. Sasa hivi technology ni kubwa sana... Yote itatengenezwa upya. Hawa jamaa waharibifu wamejawa na roho mbaya ya wivu
View attachment 2414325
Warusi ni wanyama sana, hawana utu. Tusije kushangaa kusikia matendo mabaya kama ya Lyman.

Azov wako sahihi sana wanapowauwa mateka. Bora wawe mizoga kuliko kurudi kwao wakiwa hai.
 
HIMARS hizi hapa. Bado Mrusi atazidi kuretreat kila sehemu
View attachment 2413946
Ikitokea warusi wakalipua HIMARS moja tu, hatutalala Siku hiyo kwa jinsi ambavyo pro Russia watapiga propaganda. Warusi wanatamani wateke hata HIMARS moja tu waitumie.

Kama HIMARS zote kumi na sita (16) na M270 kumi (10) bado zinapiga mzigo, maana yake Russia kashindwa kuzi detect zilipo.

Sasa kama zimesogea karibu na Crimea hilo daraja halitabutuliwa kweli.
 
NATO imepishana na Urusi miaka kama 10 hivi kiteknolojia...hata China huenda kidogo ikafua dafu maana hizo 'copy and paste' za silaha za kimagharibi wanazimudu japo kidogo.
T14 Armata Elungata
Ungetazama Zhuhai Airshow 2022 inayoisha kesho ungeona progress ya Wachina. Russia hampigi Mchina kwa sasa, hana uwezo huo
 
Kuna Warusi waliamua kujichanganya na Raia wa Kherson. Sasa leo wameanza kuwachomoa mtaani. Bora Warusi wajisalimishe. Huyu sijui kapelekwa wapi.
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi wengine walikuwa hawajakutana na muziki wa Azov, wenzao wanaretreat wakaachwa. Leo tumekuta sehemu wamebadilishia magwanda yao na kujichanganya na Wananchi. Mitaa ishafungwa, barabara zimefungwa, watapita wapi?
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…