figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,581
Hii Ilikuwa Helkopta ya Ukriane Urusi wakaiteka, sasa Ukraine wameikuta airport Kherson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah hizi moments ni zile za kutoa machozi.Msafara wa Ukraine umepigwa ambushi na Wananchi waliobeba maua. Ilibidi kusimama upokee maua
ya karibu Kherson
View attachment 2413955
Raha Jipe mwenyewe, usingoje kupewa 😂😂😂
walikuwa kwenye utawala wa kijeshi under Russia. Sasa wako huru, walilazimishwa kufanya vitu ambavyo hawataki.Wananchi wa Kherson hawaamini macho yao. Wajua washanyang'anywa ardhi yao.
View attachment 2414335
Warusi ni wanyama sana, hawana utu. Tusije kushangaa kusikia matendo mabaya kama ya Lyman.Warusi waliacha wameharibu Minara ya TV, Simu na Radio ili kuharibu Mawasiliano. Sasa hivi technology ni kubwa sana... Yote itatengenezwa upya. Hawa jamaa waharibifu wamejawa na roho mbaya ya wivu
View attachment 2414325
Ikitokea warusi wakalipua HIMARS moja tu, hatutalala Siku hiyo kwa jinsi ambavyo pro Russia watapiga propaganda. Warusi wanatamani wateke hata HIMARS moja tu waitumie.HIMARS hizi hapa. Bado Mrusi atazidi kuretreat kila sehemu
View attachment 2413946
Ungetazama Zhuhai Airshow 2022 inayoisha kesho ungeona progress ya Wachina. Russia hampigi Mchina kwa sasa, hana uwezo huoNATO imepishana na Urusi miaka kama 10 hivi kiteknolojia...hata China huenda kidogo ikafua dafu maana hizo 'copy and paste' za silaha za kimagharibi wanazimudu japo kidogo.
T14 Armata Elungata