figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #8,661
Made 1800 😂😂😂😂😂Angalia Silaha ilokuwa unatumiwa na Urusi 🤣🤣🤣
View attachment 2414854
Babushka ana akili sana. 😂😂😂😂Babushka(Bibi) aliwaibia risasi Warusi, Wanajeshi wa Ukriane walipofika amewapa wakazitumie kuwafukuza wavamizi hawa. Ukraine wana umoja sana na wanapendana, kuwashinda si rahisi
View attachment 2414890
Hayo yanazuiaje Drones zisiwapige. Watayakimbia tu hayo ma pyramid yaoHapa ni Urusi huko Belgorod, wanajiandaa kwa kuweka Frontline nchini mwao. Eti wamenusa LEGION wanataka kuvamia Mkoa huo🤣🤣
Kumbuka LEGION ni Warusi, so hii ni Vita yao, wasijesema Ukraine tunawasaidia. Wanataka Putin atoke madarakani. Wanadai kaingiza Nchi Vitani bila sababu
View attachment 2414959
Kha! Kwanza siku yenyewe ya kupiga kura Mahudhurio kwenye vituo vya kupiga kura ni sifuri (0). Watakuwepo Msimamizi wa Uchaguzi, Msaidizi wake na Mgambo wa kulinda Amani (lakini ni analinda masanduku ya kura) basi.Sasa Urusi waje Kherson waendeshe zoezi la kura tuone wanapata ngapi
View attachment 2414649
Ndiyo. Chakula ni uhai. Familia za Kherson wanalijua hilo na wamelizingatia kikamilifu kwa wapendwa / Wakombozi wao. Ahsanteni sana Familia za Kherson.Familia za Kherson ziliwaandalia chakula Wanajeshi wa Ukriane walipo komboa mji mkuu
View attachment 2414955