Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkazi wa Kherson anaoneshwa jinsi Vifaru vya Urusi vilivyokiwa vimelipuliwa. Anafurahi sana. Anaoneshwa picha za Frontline jinsi Warusi wanajuta kuja Ukraine
 
Huyu ndo Kiongozi Mkuu wa Majeshi ya Ukraine upande wa Kusini. Komando Andrei Kovalchuk akiwa anaingia Kherson. Wananchi wamempokea kwa furaha.
 
Hapa ni Urusi huko Belgorod, wanajiandaa kwa kuweka Frontline nchini mwao. Eti wamenusa LEGION wanataka kuvamia Mkoa huo🤣🤣
Kumbuka LEGION ni Warusi, so hii ni Vita yao, wasijesema Ukraine tunawasaidia. Wanataka Putin atoke madarakani. Wanadai kaingiza Nchi Vitani bila sababu
View attachment 2414959
Hayo yanazuiaje Drones zisiwapige. Watayakimbia tu hayo ma pyramid yao
 
Anastasia Lenna, Miss Ukraine
20221113_090829.jpg
20221113_090939.jpg

20221113_091040.jpg
 
Hawa ni Wanajeshi wa kujitolea kutoka mataifa Mbalimbali. Wanaitwa International Legion. Walipewa kazi ya kukomboa Mji wa Sievierodonetsk. Siku hii Walipambana Masaa nane bila kupumzika Piga nikupige hadi giza likaingia.
Hii Video ilirekodiwa 8th June, 2022.
SEHEMU YA KWANZA
 
Sasa Urusi waje Kherson waendeshe zoezi la kura tuone wanapata ngapi
View attachment 2414649
Kha! Kwanza siku yenyewe ya kupiga kura Mahudhurio kwenye vituo vya kupiga kura ni sifuri (0). Watakuwepo Msimamizi wa Uchaguzi, Msaidizi wake na Mgambo wa kulinda Amani (lakini ni analinda masanduku ya kura) basi.
Familia za Kherson ziliwaandalia chakula Wanajeshi wa Ukriane walipo komboa mji mkuu
View attachment 2414955
Ndiyo. Chakula ni uhai. Familia za Kherson wanalijua hilo na wamelizingatia kikamilifu kwa wapendwa / Wakombozi wao. Ahsanteni sana Familia za Kherson.
 
Back
Top Bottom