Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Uwanja wa ndege wa Chornobaivka huko Kherson. Warusi waliacha mzigo. Hizo ndege nyingi zinazoonekana zinaitwa Antonov An-2. Za kizamani.. Tutazitumia kumwagilia mashamba ya alizeti🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu, hapa ni Oleshky, Mji uliopo upande wa pili wa Kherson ambapo Urusi walikimbilia ukivuka mto Dnipro. Wapelelezi wameenda na kukuta hakuna mwanajeshi wa Urusi wala Bendera. Ngoja tuone itakuaje..
Your browser is not able to display this video.
 
Ni ngumu kuzipiga sababu, zinapiga na kusepa. Afu tatizo ni kuwa HARM zimesababisha Urusi kuzima radars zao hivyo counters huwa hazifanyi kazi
Ok, Good, akiwasha rada Harm zinamsoma vizuri? au target inakuwa rada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…