Yes. Hawa ni Professional combatants sio wale Mobilised wa yule jamaa anazoa-zoa tu.Wanajeshi wa Ukraine waliokuwa mafunzoni Denmark, wamehitimu.. Frontline moja kwa moja wanapelekwa...
View attachment 2421416View attachment 2421417View attachment 2421418View attachment 2421419
😂😂😂huyo dish litakuwa limeyumba, linasoma chenga.Hawa mateka wanasaidia kuchimba mahandaki Frontline. Wamemuuliza hivi ni kweli Urusi ndo ina jeshi la pili bora Duniani? Akajibu kweli Urusi ya pili, ya kwanza ni Ukriane
View attachment 2421359
Sababu ni bora sana, sina shabaha(ikipiga haikosei Mzee), zina speed kubwa, zina shabaha hadi umbali wa km 6, zinaweza kutumika kwenye ndege au gari. Ni moja ya silaha za kisasa za Urusi. Hizi Missiles ndo zinampa jeuri. Hii ni zaidi ya Javelin japo zinafanya kazi sawa za kulipua Vifaru. Javelin unatumia Mikono ila hii unaweza ifunga kwa drone na ikaenda kufanya kazi..Kwa nini wanazificha sana hzi siraha?
Janja ya nyani kula hindi bichi. 😂😂😂😂Hawa Warusi walipoona drone, wakaleta ujanja wa kukimbiakimbia kwa kupishana. Drone inakuacha ukimbie hadi Uchoke🤣🤣🤣
View attachment 2421649
Duu, hao wenye vifaru vingi ni maadui au vyote ni vya ukraineFrontline vumbi linatimuka
View attachment 2421782
Maadui wapo upande wa pili. Hawa wanapiga na kuhama.Duu, hao wenye vifaru vingi ni maadui au vyote ni vya ukraine
Dah! Ukishachoka unapewa kitu. 😆Hawa Warusi walipoona drone, wakaleta ujanja wa kukimbiakimbia kwa kupishana. Drone inakuacha ukimbie hadi Uchoke🤣🤣🤣
View attachment 2421649
Mhhhh! Bora tu uone kwenye clip kuliko ukawepo hapo physically. Huo mtifuano na vifaru ni balaa. Sasa katika hilo adui ni yupi au hapo ndo adui (Mrussi) anapelekewa moto?Frontline vumbi linatimuka
View attachment 2421782