Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kwa nini wanazificha sana hzi siraha?
Sababu ni bora sana, sina shabaha(ikipiga haikosei Mzee), zina speed kubwa, zina shabaha hadi umbali wa km 6, zinaweza kutumika kwenye ndege au gari. Ni moja ya silaha za kisasa za Urusi. Hizi Missiles ndo zinampa jeuri. Hii ni zaidi ya Javelin japo zinafanya kazi sawa za kulipua Vifaru. Javelin unatumia Mikono ila hii unaweza ifunga kwa drone na ikaenda kufanya kazi..
 
Good Morning
20221120_085307.jpg
20221120_085206.jpg
20221120_085159.jpg
20221120_085154.jpg
 
Moscow kimenuka. Unajua Legion wanawanyong'esha Urusi kimya kimya.. Mikakati yao ya kulipua sehemu nyeti imekaa vizuri. Wapo kila sehemu, Marubani, Wahandisi nk. Hawamtaki Putin so wanatumia silaha walionayo. Ipo siku tutasikia wamelipua Ikulu
 
Back
Top Bottom