Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa Warusi wanarusharusha Mabomu Kherson. Wanaona wivu maisha kuendelea kama kawa. Treni, masoko, hospital miundombinu imetengenezwa. Wanataka kuharibu tena ili Waukraine waishi kwa tabu
Hawatafaulu katika hilo. Huyo ni mfa maji haishi kutapatapa.
 
Ila haijadhibitishwa kama ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…