figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #9,061
Itawatokea puani. Ni advantage kwa Ukraine. Kazi itakuwa ni kutwanga tuHahahaaa!!! Wana hamu na sigara.
Safi. Shukrani ziwaendee wa-Swiden. Huo ndio uwezeshaji Mubashara.Swiden wametoa vifaa vya kusaidia kipindi cha baridi, mifumo ya ulinzi wa anga, magari yanaohimili utelezi na mahema
View attachment 2424337
Duh! Aisee! Baridi la kufa mtu. Ni sawa na ndani ya Friza. (Temperature -ve degrees Celsius)
Hahahaa.Mengine yatakuwa bado yana madoa ya damu na harufu ya jasho la marehemu. π πMobilized walalamokia kupewa Magwanda ya Wanajeshi wa Urusi waliokufa vitani Ukraine
View attachment 2424379
Wanajeshi wanakuambia hali hii vitani ni nzuri kuliko tope. Hii barafu inakuwa ngumu kama jiwe inakuwa ni rahisi kwa magari mazito ya kivita kupita.Duh! Aisee! Baridi la kufa mtu. Ni sawa na ndani ya Friza. (Temperature -ve degrees Celsius)
Mobilized wako vizuri πππ ingekuwa wako vizuri hivo wakiwa frontline, Ukraine wangekimbia. ππππMobilized wageukwa na wananchi wa kawaida huko Urusi. Wanapigwa wakionekama mitaani
View attachment 2424322