Huo ndio ubinadamu na upendo. Huwezi jua kama ni majeruhi anaweza pona na baadaye akawa tena mpambanaji mzuri katika nyanja tofauti na frontliner.Ukraine hawaachi mtu nyuma. Hata kama Kimara hadi Mbagala, wataenda naye tofauti na wenzetu Urusi. Urusi mtu akizidiwa wanampiga risasi eti anaweza kutekwa akatoa siri
View attachment 2425526
Tumeua watu wetu wenyewe. Makombora ya Urusi hayajaua mtu. Sisi air defence system iligoma kwenda umbali uliotakiwa. Ikatua kwenye makazi ya watu. NASAMS ya NorwayOh; so sad. RIP .
Oh My! Ni bahati mbaya. Ni ajali. RIP wahanga wa ajali hiyo.Tumeua watu wetu wenyewe. Makombora ya Urusi hayajaua mtu. Sisi air defence system iligoma kwenda umbali uliotakiwa. Ikatua kwenye makazi ya watu. NASAMS ya Norway
Ipo hivi, Kyiv kuna kengere na alarms. Kukiwa na hatari huwa zinapigwa watu wanajificha chini ya ardhi ndo maana hata makombora hayaui watu sana bali miundombinu.
View attachment 2425709
Adui muombee njaa tu atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa πHawa wamejisalimisha sababu ya njaa. Walikosa chakula na njia ya kwenda walipo ikakatwa. Maswala ya Ugavi Urusi wanapata tabu sana
View attachment 2426077View attachment 2426078
Slava Ukraine [emoji1255]Huyu ni kiongozi wa Wagner PMC unit "Cherdash". Baada ya kuona drone ya Ukraine ikitaka kumuua, akaona aimalize. Hata hivyo alikuwa kashetenguliwa Mguu na Askari wa Miguu. Drone ilimpa nafasi ajisalimishe badala yake akaanza kuishambulia
View attachment 2426233
"Drone ilimpa nafasi ajisalimishe badala yake akaanza kuishambulia"Huyu ni kiongozi wa Wagner PMC unit "Cherdash". Baada ya kuona drone ya Ukraine ikitaka kumuua, akaona aimalize. Hata hivyo alikuwa kashetenguliwa Mguu na Askari wa Miguu. Drone ilimpa nafasi ajisalimishe badala yake akaanza kuishambulia
View attachment 2426233
Eti anategemea huruma. Hakuna cha huruma hapo. Azibuliwe tuu. π π π¨ Mkong'oto uko palepale jombaa.View attachment 2426395MRUSI HUYO
Mrussi ni mnyama kwa maana halisi ya mnyama. AZOV kweli wapo sahihi kabisa wanachokifanya kwa waRussi wanaowakamata hapo Kherson - Wanaondokaga nao kwa kusema ni wafungwa wa kivita then wanaenda kumalizana nao kiulaini kabisa.Chemba 9 za kutesea wqtu zimegundulika Kherson. Pia imegunduliwa miili ya 432 wa raia waliouliwa na Urusi
View attachment 2426384