Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mhhfyu- Tmyup! kidume keshajinyea. Hahahaaa. Mrussi anajuta kuivamia Ukraine. Yan laiti ingewezekana kurewind mkanda; basi Mrussi(Putin) siku aliyoamua kuivamia Ukraine ange opt kwenda shamba kulima kwa mikono au kwenda kuwaona wakwe. Asingefanya uamuzi huo wa kijinga na ambao sasa anaujutia- lakini basi tena ndo imeshakuwa hivyo.
Inabidi tu akubaliane na matokeo.
 
Mateka wa kirudi na wafungwa wa Vita wa Urusi, wanarudi kwao wakiwa na afya na nguvu. Lakini sisi wenzetu wanawaleta wamekonda wengine wanachechemea. Hawa ni Warusi walioachiliwa huru baada ya kubadilishana wafungwa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…