figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #9,201
Inaonekana wanatamani waendelee kuwa mateka kuliko kurudi urusi.Mateka wa kirudi na wafungwa wa Vita wa Urusi, wanarudi kwao wakiwa na afya na nguvu. Lakini sisi wenzetu wanawaleta wamekonda wengine wanachechemea. Hawa ni Warusi walioachiliwa huru baada ya kubadilishana wafungwa
View attachment 2426750
Ee-Phae. Wamepigwa kama ngoma. Hicho kipigo hakika hawatakaa wakisahau.Hapa ni Bakhmut, Mkoani Donetsk. Urusi wamelia na kusaga meno.. Drones zimewashughulikia hadi wakaomba Msamaha lakini hawajasamehewa. π€£π€£π€£π€£
View attachment 2427934
Duh! Kutoka U-super power, mbabe, Komandoo hadi anakuwa wa kukimbia-kimbia, kujifichaficha, haonekani sasa ni mpaka awe anawindwa kama digidigi ni aibu na fedheha kubwa sana.π³π³Marine Brigade wakiwa Mawindoni Kherson. Mrusi anawindwaπ€£π€£
View attachment 2427953View attachment 2427954View attachment 2427955View attachment 2427956
OoH! Wamechanganywa mumohumo na magogo yao. Khatari kweli-kweli.Frontline ya Ukraine ni nguvu moja. Liwake jua inyeshe mvuaπͺ
View attachment 2428222View attachment 2428223View attachment 2428224
Pengine kama Warussi wanaweza basi wavae boxer za bati au wakubali kubondwa tu.Kikosi cha Drones huwa kinanipa raha sana. Kila mtu anauguliwa kivyake hakuna kuuguzana.
Mbaya zaidi Drone zinawapiga kwenye makende, ndiyo maana kila anayepigwa lazima ajikunje kama jongoo. πππ
Urusi inabidi ilete watu wenye mabusha, ili hata Drones zikiwapiga ziishie kumwaga urojo tu, huku yeye akiendelea kudunda. πππππ
Kumbe huyo ndio mwamba anayewatengua viuno WarussiπββοΈπͺHuyu anaitwa Yehor. Jina analotimia Frontline ni Lev. Yupo kikosi cha mizinga
View attachment 2427991
Kha! Mrussi anavyofuatiliwa, anavyotafutwa kwa udi na uvumba - cjui kama AZOV akimpata Mrussi walau hata mmoja itakuwaje yan.Azov wakifanya mazoezi ya Close Quarters Battle (CQB)
View attachment 2427978
Walishasema wamefundishwa kuua na bunduki zimetengenezwa kuua binadamuKha! Mrussi anavyofuatiliwa, anavyotafutwa kwa udi na uvumba - cjui kama AZOV akimpata Mrussi walau hata mmoja itakuwaje yan.
Safi sana. hapo ndo wameivatayari ili kutoa kichapo kwa Mrussi au bado?Wanajeshi 10 wa Ukraine wamepewa mafunzo ya kuendesha Sea King zilizoletwa Ukraine. Imewachukua wiki Sita
View attachment 2428329
Siri imebumburuka. Watafute njia au ujanja mwingine. Hiyo imeshafeli.Yale Magari yaliyooneka kule Tver Urusi, ni wanapropaganda wa Urusi wanatengeneza movie kujifanya ni Urusi. Wananchi wa Urusi walianza kushangilia wakijua ni Ukriane inaingia Moscow
View attachment 2428338