Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wakidakwa wanakuwa wapole kama wanaendesha misa ya mazishi
View attachment 2433408
Nawakubali sana wapigananji wa Ukraine. Wanamoyo wa ubinadamu sana. Yan hata mateka wanampa sigara kumwonesha wanamtambua kama binadamu mwenza japokuwa alikuja kuwaua Ukraine.-Lakini yy huyu katumwa tu, hawana ugomvi naye ila mbaya wao ni Putin izraeli mtoa roho aliyeamuru uvamizi ufanyike.
 
Halafu anakuja njemba mmoja hapo juu anatulisha matango pori eti " Mrussi anasogea mdogo-mdogo" Hahahaa.
Njemba tumemwomba alete ushahidi, akawa mpole. Kaonyesha uungwana kwa kuchutama 😂😂😂
 
Huenda alikuwa mmakonde huyo. Alikuwa anacheza ngoma ya kimakonde kwenye handaki 😂😂😂😂
 
Mtu wa Frontline ya Ukraine akipoteza maisha, hivi ndo wanamzika na wananchi mkipishana na msafara, Wananchi kwa uzalendo wanapiga magoti barabarani kama heshima kila msafara unapopita
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…