Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia Urusi ilivyobomoa nyumba za Raia wa Bakhumut. Frontline wanaogopa.. Wanatumia Wananchi kama ngao sababu wanajua Ukraine haiwezi kuua wananchi wake
View attachment 2434978
Dah! Hivi kwa nini isiwe kwamba Warussi wanaodakwa uraiani kazi ikawa ni moja tu ya kuwabomoa vichwa vyao kama wao wanavyobomoa-bomoa/kuharibu nyumba za raia? Naamini kwamba Wao wametumwa kupigana/kupambana na askari Frontline ya Ukraine na sio kazi ya kubomoa makazi ya raia. Kwa kuwa wamekiuka Taratibu za kivita,basi na wao wakidakwa hawastahili kutendewa kwa mujibu wa taratibu za kivita. Nawakubali sana AZOV.😳😳🔨
 
Bendera ya kwanza imesimikwa upande wa pili wa mto Dnipro huko Kherson. Huyo inamanisha tumepata njia ya kupita sababu eneo lishakombolewa. Kazi nzuri ya "Carlson" Special Forces unit
Your browser is not able to display this video.
 
Bakhmut ni piga nikupige. Juzi wenzetu wa Georgia waliwekwa mtubkati wakashambuliwa kutoka pande nne. Ukraine imeongeza kikosi kazi huko.. Urusi hataki kuiachia. Video ni kikosi kazi cha Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…