... kwa maneno yasiyozidi 100, tupe sifa za huyo mnyama vs HIMARS. Thanks.
Marekani imekubali kupeleka hii kitu Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine watakwenda Ujerumani kujifunza jinsi ya kuzitumia. Tangazo la kuzipeleka litatolewa Alhamisi hii
Wanaume wakisema hivo ujue zimeshatua Ukraine na wanajeshi walishafuzu mafunzo
Marekani imekubali kupeleka hii kitu Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine watakwenda Ujerumani kujifunza jinsi ya kuzitumia. Tangazo la kuzipeleka litatolewa Alhamisi hii
"...Anataka negotiations na USA, mzee mzima hataki anasema uka negotiate na Ukraine"Maana yake anataka NATO & USA wasaini makubaliano ya kutoishambulia Russia na kusiwe na further expansion ya NATO territories. Ndiyo maana ya Security Guarantee anayotaka.
Anataka negotiations na USA, mzee mzima hataki anasema uka negotiate na Ukraine.
Alivyo mjinga anapangia wanaume cha kufanya.
Huu ni mtambo wenye mfumo maalum wa kuzuia makombora ya masafa marefu, kudungua ndege za kisasa za kivita unaoitwa "Patriot" umetengenezwa na marekani na unamilikiwa na NATO pia. Ni mfumo wa kisasa sana unaotumia teknolojia ya hali ya juu sana katika kutafuta makombora na kujirekebisha kwa haraka kama umekosea kukadiria umbali lilipo kombora.... kwa maneno yasiyozidi 100, tupe sifa za huyo mnyama vs HIMARS. Thanks.
Na hiyo Alhamisi ujue ni kwa sisi huku tukae mkao wa kula "Tusikilizie" mtu akipigwa kama ngoma. πͺ πWanaume wakisema hivo ujue zimeshatua Ukraine na wanajeshi walishafuzu mafunzo
Hiyo inaitwa Patriot long range air defense system.... kwa maneno yasiyozidi 100, tupe sifa za huyo mnyama vs HIMARS. Thanks.
Watu walimuonya sana na kwa nia njema Mrussi kuhusu hii vita alioanzisha kimasihara kwamba katika vita hii Hakuna rangi ataacha kuona- hakusikia.Huu ni mtambo wenye mfumo maalum wa kuzuia makombora ya masafa marefu, kudungua ndege za kisasa za kivita unaoitwa "Patriot" umetengenezwa na marekani na unamilikiwa na NATO pia. Ni mfumo wa kisasa sana unaotumia teknolojia ya hali ya juu sana katika kutafuta makombora na kujirekebisha kwa haraka kama umekosea kukadiria umbali lilipo kombora.
Marekani inasema inapeleka ili kuwalinda raia wasishambuliwe na Makombora ya Urusi au ndege.
Ukimshika Fisi mkia utarajie atakurushia uharo. πππWatu walimuonya sana na kwa nia njema Mrussi kuhusu hii vita alioanzisha kimasihara kwamba katika vita hii Hakuna rangi ataacha kuona- hakusikia.
Juzi msemaji wa Kremlin alisema eti Ukraine lazima wa "accept reality" kuwa Luhansk, Donetsk, Kherson na Zaporizhzhia ni territories za Russia. Waki accept reality eti ndo wataondoka majeshi."...Anataka negotiations na USA, mzee mzima hataki anasema uka negotiate na Ukraine"
Yeah. Hiyo ndo kauli ya kiutu uzima. Mrussi anapambana na Ukraine- sasa iweje majadiliano yawe ni baina ya Urussi na NATO & USA?. Ingekuwa ni busara kwanza Mrussi amalizane (ajisuluhishe/ afanye mapatano ya amani) na Ukraine halafu hatua ya pili iwe kama anataka kusiwe na further expansion ya NATO territories aanze mchakato wa kuwaomba hao anaowaogopa wafanye makubaliano husika. Asilete hoja za kizamani eti "Rob Peter to pay Paul". Kauli yake hiyo inaashiria na kudhihirisha bado akili haijakaa sawa i.e. bado anaidharau sana Ukraine na haitambui kama ni nchi huru (1991). Huyo Mrussi kwa kiburi na dharau yake hiyo na ubabe wake anaouonesha kwa Ukraine, napendekeza strongly apelekewe moto mkali zaidi ili kiburi, dharau na ubabe wake huo viyeyuke.
Ndiyo maana nawambia super power ni mmoja tu U.S.A yaani huo mfumo ni wa enzi hizo, vipi akitoa current,? si dunia itasimama.!Wanaume wakisema hivo ujue zimeshatua Ukraine na wanajeshi walishafuzu mafunzo
Mtu mjinga ni yule anayeweza kufundishika endapo atapewa nafasi i.e. Ni Trainable lakini mtu mpumbavu ni Untrainable, ni kilema ni mgonjwa siyetibika. Hafundishiki na kama ni kiungo cha mwili huwa ni kukikata(amputation). Putin /Russia ni miongoni mwa untrainable. Amelemaa. Kila kukicha anabadili-badili hoja zake. Lililobaki ni kazi moja tu nayo imeshaeleweka ni kumsimamia kidedea na kumpa kipigo cha mbwa mwizi. Ni hayo tu.Juzi msemaji wa Kremlin alisema eti Ukraine lazima wa "accept reality" kuwa Luhansk, Donetsk, Kherson na Zaporizhzhia ni territories za Russia. Waki accept reality eti ndo wataondoka majeshi.
Hapo ndo unajua kuwa Russia ni wapumbavu kweli.
Kusikia kwa kenge ni damu masikioni. Hiyo kitu aliyoitoa USA ni ya muda mrefu na ilitumika sana na kwa mafanikio makubwa mno dhidi ya makombora yaliyovuma sana ya Scud enzi hizo. Kama wanataka waendelee kuona updates basi waendelee tu kukaza shingo na mwanaume awasimamie kucha ndipo wataelewa ukisemacho mkuu.Ndiyo maana nawambia super power ni mmoja tu U.S.A yaani huo mfumo ni wa enzi hizo, vipi akitoa current,? si dunia itasimama.!
Wanazi upgrade ili kuendana na mazingira na technology advancementNdiyo maana nawambia super power ni mmoja tu U.S.A yaani huo mfumo ni wa enzi hizo, vipi akitoa current,? si dunia itasimama.!
Aisee, Mrussi imekuwa ni bahati mbaya sana kwake kwani kila juhudi anayoifanya kuhusu vita hii anajikuta anazidi kujisokota kama samaki kwenye nyavu. Ukifuatilia mtiririko wa kauli zake ambazo ndo juhudi zake kujinasua utamsikitikia. Alianza na vitisho kwa Rais Zele kwa kumwambia akimbie au ajisalimishe bila mashartiyoyote Akatoa vitisho kwa mataifa yatakayothubutu kumsaidia dogo Zele, Akatishia matumizi ya nyuklia, Akaonya upelekwaji wa silaha Ukraine, Akatishia kulipua mtambo wa nuklia uliopo Ukraine, mara akaanza hoja hizi za kijinga e.g. mikoa 4-5 iliyotekwa 2014 ibakie kuwa ni ya Urussi ili vita iishe, mara Ukraine akubali mikoa hiyo 4-5 ikaliwe na Urussi kwa miaka 7 then irudishwe Ukraine, mara Ukraine tukae meza moja tufanye makubaliano ....sasa anabadilika anasema Ukraine atambue mikoa mitatu ni Urussi, juzi kasema kuwe na mkataba baina yake na USA&NATO kwamba atakuwa salama na NATO hawatajipanua kuongeza maeneo ....dah! mzee mpuuzi kweli kweli anadhani wenzake ni std 7 wakuyumbishwa yumbishwa kivile. Ndo maana wakubwa wamefikia mahali wamemwona "ananuka" hafai.Ukimshika Fisi mkia utarajie atakurushia uharo. πππ
Putin sasa hivi kapakwa uharo, anaona aibu ila anakaza fuvu tu. Anajua kuwa kashanasa.
Wameshavuka mbali ngazi ya minuteman111 na bado wanasonga mbele ku-upgrade.Wanazi upgrade ili kuendana na mazingira na technology advancement
Muda siyo mrefu utasikia sizitaki mbichi hizo π€π€π€π€Aisee, Mrussi imekuwa ni bahati mbaya sana kwake kwani kila juhudi anayoifanya kuhusu vita hii anajikuta anazidi kujisokota kama samaki kwenye nyavu. Ukifuatilia mtiririko wa kauli zake ambazo ndo juhudi zake kujinasua utamsikitikia. Alianza na vitisho kwa Rais Zele kwa kumwambia akimbie au ajisalimishe bila mashartiyoyote Akatoa vitisho kwa mataifa yatakayothubutu kumsaidia dogo Zele, Akatishia matumizi ya nyuklia, Akaonya upelekwaji wa silaha Ukraine, Akatishia kulipua mtambo wa nuklia uliopo Ukraine, mara akaanza hoja hizi za kijinga e.g. mikoa 4-5 iliyotekwa 2014 ibakie kuwa ni ya Urussi ili vita iishe, mara Ukraine akubali mikoa hiyo 4-5 ikaliwe na Urussi kwa miaka 7 then irudishwe Ukraine, mara Ukraine tukae meza moja tufanye makubaliano ....sasa anabadilika anasema Ukraine atambue mikoa mitatu ni Urussi, juzi kasema kuwe na mkataba baina yake na USA&NATO kwamba atakuwa salama na NATO hawatajipanua kuongeza maeneo ....dah! mzee mpuuzi kweli kweli anadhani wenzake ni std 7 wakuyumbishwa yumbishwa kivile. Ndo maana wakubwa wamefikia mahali wamemwona "ananuka" hafai.
Wanaume wameshajua hana lolote zaidi ya mikwara. Kufurushwa ndani ya Ukraine ni lazima hata kama vita itachukua miaka 2 kuishaAisee, Mrussi imekuwa ni bahati mbaya sana kwake kwani kila juhudi anayoifanya kuhusu vita hii anajikuta anazidi kujisokota kama samaki kwenye nyavu. Ukifuatilia mtiririko wa kauli zake ambazo ndo juhudi zake kujinasua utamsikitikia. Alianza na vitisho kwa Rais Zele kwa kumwambia akimbie au ajisalimishe bila mashartiyoyote Akatoa vitisho kwa mataifa yatakayothubutu kumsaidia dogo Zele, Akatishia matumizi ya nyuklia, Akaonya upelekwaji wa silaha Ukraine, Akatishia kulipua mtambo wa nuklia uliopo Ukraine, mara akaanza hoja hizi za kijinga e.g. mikoa 4-5 iliyotekwa 2014 ibakie kuwa ni ya Urussi ili vita iishe, mara Ukraine akubali mikoa hiyo 4-5 ikaliwe na Urussi kwa miaka 7 then irudishwe Ukraine, mara Ukraine tukae meza moja tufanye makubaliano ....sasa anabadilika anasema Ukraine atambue mikoa mitatu ni Urussi, juzi kasema kuwe na mkataba baina yake na USA&NATO kwamba atakuwa salama na NATO hawatajipanua kuongeza maeneo ....dah! mzee mpuuzi kweli kweli anadhani wenzake ni std 7 wakuyumbishwa yumbishwa kivile. Ndo maana wakubwa wamefikia mahali wamemwona "ananuka" hafai.
Kazi nzuri ya NASAMS na IRIS-T.Air Defense [emoji91][emoji91]View attachment 2446860
Safi sana hivi msimu wa baridi unaisha lini??Air Defense [emoji91][emoji91]View attachment 2446860