Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Air Defense [emoji91][emoji91]View attachment 2446860
Wazungu ni wazungu tu. Whatever problem they face it's just a matter of time they will come up with a solution; those guys never give up no matter how difficulty the situation might be!

Huku kwetu hadi leo tunasingizia vita vya Uganda kama sababu ya matatizo yetu; kwamba nchi ni masikini and one of the reasons ni Idd Amin Dada.
 
Eti isingekuwa vita vya Uganda uchumi wetu ungekuwa sawa na china😂😂😂😂

Yule jamaa mwenye kichwa kilichobondeka naye akaja na kamba nyingi eti nchi hii imechezewa sana. Anataka tuwe Dona (unga) kantrii. 😂😂😂. Ghafla Dona kantrii ina viwanda zaidi ya 10,000 eti tuko uchumi wa viwanda. 😂😂😂😂. Ni zaidi ya wacheza sarakasi.
 
Na wajanja wakapata uchochoro wa kupiga hela ndefu.🙄🙄
 
As Salamu 'Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuhu. Mungu ni mwema anazidi kutupigania. Urusi anatupiga hii vita lakini Ushindi ni wetu.

Sijapost kwa muda sababu ya changamoto za Maisha. Tunaishi.

Tunapost mafanikio ya Ukraine si vingine. Samahani kwa ninao wakwaza. Siwezi post mambo ya Urusi sababu sina access nao na siwapendi. Mimi ni Pro NATO.. hata damu ikivuja inajiandika NATO.

Namshukuru Mungu kwa uzima na kuendelea kutulinda kila mmoja. Nawapenda Waswahili wenzangu wa Nangurukuru na Kanyamahela❤️
 
Hata sisi wa huku Umasaini ndani-ndani huko tunakupenda na tunakutakia afya njema na Mungu akulinde ikawe kwako ni Heri na Amani.
 
Vikosi vya Ukraine vipo timamu na vinazidi kupokea misaada toka Wananchi wa kaqaida. Malengo Ureusi watoke ardhi ya Ukraine kama walivyoroka Kherson
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Frontline sio mambo rahisi. Mnafika kipindi hospital za rufaa za Frontline zinaishiwa damu. Mtu anakufa unamiona kwa kukosa damu. Ila hakuna kukata tamaa. Napost hii ili mpate picha mambo yalivyo. Ndo maana Azpv wanawakata Masikio Warusi. Ukraine ilikuwa Nchi ya Amani hadi Urusi walipovamia Kanchi kadogo kama Ukraine.
 
Kwaio kukanusha ni uoga.Nilichojifunza kweny maelezo yako ni unaendeshwa na hisia. Kwaio mrusi alivokanusha kuua raia Ukraine alikua anamuogopa nan [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…