Hapana Hapana HAPANA. Taarifa za Oktoba???! Hii ni Desemba 2022 na sisi tumemwomba kwa mujibu/kwa kuzingatia alichotujulisha yeye. Ni heri umwache yy mwenyewe atupatie tulichoomba.Nadhani ana taarifa zile za Oktoba.
Tunakuwa na hamu ya kujua sababu hali siyo nzuri kwa upande wetu.Kabisa roho zisuuzike.
Yaani mtu anayetuletea updates ndo awe na taarifa za Oct.Nadhani ana taarifa zile za Oktoba.
Halafu Mrussi huyo anayewatisha anabweteka kudhani kwamba hawapo mbona hawajibu-imekuwa kimya?... then anajisogeza mara paap! anakutana na yule jamaa mcheza rege # 9,747. anawakamulia kisawasawa. 💪 🔨Wanajeshi wa Ukraine huwatishi na milio la risasi
View attachment 2449765
Ukraine walianza na Mungu na watamaliza na Mungu. Mungu hajawahi kushindwa na chochote kile.Tunakuwa na hamu ya kujua sababu hali siyo nzuri kwa upande wetu.
Direction ya Kreminna na Svatove frontline yetu inarudishwa nyuma. Bakhumat nako Russia wanazidi kuirudisha zaidi frontline yetu, kuna maeneo mengi wameyachukua. Mapigano ni makali sana.
Naona Russia walikuwa wamefanya maandalizi kwa ajili ya winter, màana wameanza ku advance badala ya kuji defend kama ilivyokuwa awali. Frontline yetu inajilinda zaidi.
Ila mungu ni mwema vita hii lazima Russia wafurushwe.
Huenda waliacha mizumu yao, si bure. Wako tayari kufa wote kwa ajili ya Bakhumat. Mji umebaki magofu lakini bado wanautaka.Huu ni mwezi wa Saba Urusi unarusha mabomu bakhmut. Ila Ukraine bado imara
View attachment 2450518
Tumwombe Mungu sana atuepushie hilo walau tusalimike wengi.Huenda waliacha mizumu yao, si bure. Wako tayari kufa wote kwa ajili ya Bakhumat. Mji umebaki magofu lakini bado wanautaka.
Juzi Putin kasema anataka DONBAS ikombolewe haraka. Maana yake wata mobilize troops za kutosha ili kutimiza anachotaka Dictator. Huenda kukatokea vifo vingi sana Bakhumat kwa pande zote mbili.