Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu ni Mateka wa Jeshi la Urus anaitwa Ivan Gubadulin, aka "Guba" kutoka kikosi cha 25th brigade amekamatiwa Viunga vya Bakhmut. Picha za Wanajeshi waliokutwa kwenye simu yake, amesema ni kutoka Belarusi. Belarusi wanamsaidia Urusi. Belarusi ni jirani wa Ukraine Upande wa kaskazini
 
Frontline ya Ukraine huko Bakhmut wakihakikisha Warusi wahasongi mbele. Sehemu kubwa ya Bakhmut sasa ipo chini ya Ukraine. Kwenye ramani nyekundu ni Sehemu Warusi walipo
20221220_081904.jpg
20221220_081906.jpg
20221220_081911.jpg
 
Crimea ikichukuliwa meli zake zote ataondoa kwenye hiyo miduara. Ndiyo maana hata kwenye negotiation anayotaka moja ya hoja yake ni kutaka security Guarantee kutoka USA na NATO
Security Guarantee ipi wakati Ukraine Ilipa Russia hiyo Sevastopol naval base hata baada ya nchi hizo kuachana?Ukraine ilikuwa nyutro hadi pale Russia ilipo vamia Crimea.je ulitegemea Ukraine kubaki nyutro hata baada ya Russia kuivamia?
 
Maana yake anataka NATO & USA wasaini makubaliano ya kutoishambulia Russia na kusiwe na further expansion ya NATO territories. Ndiyo maana ya Security Guarantee anayotaka.

Anataka negotiations na USA, mzee mzima hataki anasema uka negotiate na Ukraine.

Alivyo mjinga anapangia wanaume cha kufanya.
Warussia wajinga Sana pia ego ya usuper power.Russia inatishia majiran zake afu hapo hapo hutaki wajilinde? Russia yenyewe ndo inatakiwa itoe security Guarantee Kwa majiran zake ila Kwa Sela zake kila nchi itakuwa adui kwake
 
Back
Top Bottom