Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Jamaa ana confidence 120% aisee kujitokeza frontline huko sio mchezo sijui anaenda na usafiri gani ?
Haogopi jamaa, maana Bakhmut ni moja ya eneo hatari kwa kiongozi mkubwa kama huyo kwenda wakati huu, pamoja na kwamba jamaa wamefurushwa.
 
Huyu ni Mateka wa Jeshi la Urus anaitwa Ivan Gubadulin, aka "Guba" kutoka kikosi cha 25th brigade amekamatiwa Viunga vya Bakhmut. Picha za Wanajeshi waliokutwa kwenye simu yake, amesema ni kutoka Belarusi. Belarusi wanamsaidia Urusi. Belarusi ni jirani wa Ukraine Upande wa kaskazini
View attachment 2452358
Hii ni hatare mnooo
 
Mheshimiwa Rais wa Ukraine Zelensky, leo ametembelea wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline Bakhmut.
View attachment 2452691
Mbabe (Putin) yupo uvunguni mwa kitanda chake pale Kremlin anapokea Taarifa na kutoa maelekezo kwa kutumia simu janja. Hathubutu na hajawahi kufika Frontline kama huyu shujaa wetu tangu vita ianze. 💪 Slava Ukraine
emoji1255.png
 
Jamaa ana confidence 120% aisee kujitokeza frontline huko sio mchezo sijui anaenda na usafiri gani ?
Intelijensia ya Ukraine ni hatari ni ya kiwango cha juu hivi kwamba hakuna nzi atakaye weza kumgusa halafu akabaki salama.
 
Haogopi jamaa, maana Bakhmut ni moja ya eneo hatari kwa kiongozi mkubwa kama huyo kwenda wakati huu, pamoja na kwamba jamaa wamefurushwa.
Ndio maana tunasema kwamba Zele ni Rais wa watu wake kweli na sio kama huyo Fashisti Putin ambaye hata kwenda uani kwa sasa ni mtihani -hatoki ndani na amewatelekeza askari wake wanaokaangwa kama popcorn.
 
Back
Top Bottom