Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kuna dalili njema za Ukraine kuikomboa Svatove. Urusi imewakimbiza viongozi vibaraka wa Svatotve na kuwapeleka Luhansk, hii ni kwa sababu majeshi ya Ukraine yanakaribia kuingia ktk mji huo.
Wamejiongeza fasta (wamesepa) kwani kichapo kinachotarajiwa kutolewa hapo sio cha kawaida
 
Mambo ya Christmas
20221226_212004.jpg
 
Kingine kinachowaumiza Warusi ni ukosefu wa vifaa vya kujikinga na baridi kali. Morali yao inashuka kila siku.

Nimesoma mahali, imesemwa kuwa mkuu wa vikosi vya Wagner anafikiria kuwachukua hadi wafungwa wa kike nao wakapigane msitari wa mbele. Anataka wakawe manesi, snipers na saboteurs
 
Back
Top Bottom