figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,901
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wapo mikononi mwenu tayari kilichobaki ni ama kuwasuka au kuwanyoa. Mm napendekeza kuwanyoa tena kavukavu.View attachment 2459548
Askari wa Urusi waendelea kukamatwa mateka huko East front
Hahahaa.Unaendaje shambani bila jembe?? Hizo pesa nyingi wanazolipwa si wajinunulie silaha kwa ajili ya kutekeleza ajira yao. Stupid boys.View attachment 2459550
Kundi la Wagner huko Bakhmut laishiwa silaha, laanza kutukuna wakuu wa jeshi la Urusi kuwa wamewatelekeza
Wazee wa HIMARS wakikuona(Coordinates zako) hutosalimika kamwe. Lazima utumbo na vilivyomo vikutoke jombaaa.View attachment 2459549
Mtambo wa kudungulia ndege wa Urusi wa S-300 waharibiwa na Majeshi ya Ukraine huko East front
Mkuu, Ngoja wapelekwe huko halafu vijana wa Ukraine wawatolee usongo.Kingine kinachowaumiza Warusi ni ukosefu wa vifaa vya kujikinga na baridi kali. Morali yao inashuka kila siku.
Nimesoma mahali, imesemwa kuwa mkuu wa vikosi vya Wagner anafikiria kuwachukua hadi wafungwa wa kike nao wakapigane msitari wa mbele. Anataka wakawe manesi, snipers na saboteurs
Inasikitisha sana. Putin kakomba fedha zote kapeleka kulipa wale Mobilised ambao kila kukicha wanakaangwa kama popcorn. Ngoja nao Wazee wa Urussi wamlaani PutinUrusi wameanza kuonja joto la jiwe. ATM hazina fedha, wazee wanakosa Pensheni zao kutokana na uhaba wa fedha uliosababishwa na Vita
View attachment 2459891
Wanafanya mahesabu ya kujumlisha na kutoa, subiri kidogo watakujibu.Warusi wa mchambia wima na waukraine wa tandahimba je vita enu bado ijaisha tu
OOhooO!!? Toka huko porini we nanihii; huyo Supa poa unayemwita "supa-pawa" Ndo keshafikia hapo unaambiwa sasa. Usupapawa mbona alishautema kitambo siku nyingi.? Sikuizi huyo kwisha habari yake, anajua tu kutimua vumbi(mbio). Vijana wa Ukraine weshamtoa upepo.Supa-pawa hawezi kufikia hali hii
Kama hali iliyopo ni tete kihivyo basi Mrussi akili zake zitakuwa zipo kule kwenye lile tundu la kutolea taka mwili. Hao wafungwa wa kike watakuwa weaker than wale waliokusanywa kutoka mitaani(Mobilised) ukizingatia jinsia yao na huko jela wanakotokea (afya zao zitakuwa duni) na bado hawana mafunzo ya kijeshi au ya Unesi. Huko ni kuwatoa kafara kwa kweli.Labda kama wanataka kuwatoa sadaka hao wafungwa wa kike. Hali ni tete sana Svatove, Kreminna na Bakhmut. Kwa news za leo na jana ambazo zime trend sana. Kuna heavy fighting, Russia wametega mabomu (mines) mengi sana na kufanya Ukraine forces wa advance taratibu.
Russia wanazidi kupeleka troops zaidi pamoja na kwamba wanauawa askari wengi (they are suffering loss) na majeruhi wengi. Wameamua kufa kiume kutetea hiyo miji mitatu. Maana wakifurushwa svatove na Kreminna. Miji ya Rubizhne, Severodonetsk na Lysychansk zitakombolewa kiulaini kwa kuwa Northwest supply route ya Russia itakuwa imekatwa kabisa.
2. Silaha za Ukraine ni precision, yaani zikitumwa zipige sehemu zinapigw palepale, tofauti na mrusi ambaye makombora yake uoiacha yale machache ambayo ni guided , hana efficiency ya kutosha kwenye kupiga target.Licha ya kumobilize watu wengi wakapigane, Urusi inajikuta kwenye wakati mgumu kwa sababu
1. Hali yao ya kiuchumi imeanza kuyumba, hii ni baada ya nchi za west kukubaliana kuwa watanunua mafuta ya Urusi kwa bei watakayoipanga wao, hawatazidisha hata kama kuna shida kiasi gani ya mafuta. Hali hii imesababisha Urusi ikose mapato ya kutosha.
2. Silaha za Ukraine ni precision, yaani zikitumwa zipige sehemu zinapigw palepale, tofauti na mrusi ambaye makombora yake uoiacha yale machache ambayo ni guided , hana efficiency ya kutosha kwenye kupiga target.
Kwani ni wapi Yeye Mrussi alikuwa akiwaua Azov kwa huruma? Mrussi hana adabu.Azov wakiwapelekea moto wagners wa Urusi huko Bakhmut. Ukraine ilichelewa kuwapeleka Azov. Azov wana hasira sana na Mrusi. Warusi wanawaita Azov Magaidi kwa jinsi wanavyowaua bila huruma
View attachment 2460898
Hicho ndicho Warussi walichofuata huko Ukraine.
Kama wanaweza wavibebe kichwani. 😃 😃Daraja la treni linaloelekea Bakhmut limeondolewa tuone Urusi watapitisha wapi vifaru vyao
View attachment 2460906
Wale wazee waheshimiwa sana (HIMARS) wamefanya yao auHii ni military base ya Urusi ya 150th division imeteketea kwa huko Novocherkassk, Mkoani Rostov Nchini Urusi
View attachment 2461054
Tusubiri huenda mwakani tukashuhudia mazungumzo ya kutafuta suluhu.2. Silaha za Ukraine ni precision, yaani zikitumwa zipige sehemu zinapigw palepale, tofauti na mrusi ambaye makombora yake uoiacha yale machache ambayo ni guided , hana efficiency ya kutosha kwenye kupiga target.
Hii nimeipenda. Mrussi hutupa makombora yake kwa mtindo wa kusia(Broadcast)i.e anabahatisha-bahatisha tu. Hutupa makombora mengi kwenye eneo kwa wakati mmoja ili walau kombora mojawapo libahatike kupiga target. Matokeo yake ni matumizi mabovu ya makombora jambo ambalo sasa limemsababishia kuishiwa silaha yeye na mamluki (Wagner) wake.
Kwenye mazungumzo,Ukraine atakuwa kwenye position nzuri zaidi kuliko kama mazungumzo yangefanyika kipindi kile majeshi ya Urusi yapo ktk viunga vya Kiev.Tusubiri huenda mwakani tukashuhudia mazungumzo ya kutafuta suluhu.
Kama atafanikiwa kurudisha maeneo mengi yaliyokwishatekwa huenda akawa na 'upper hand' ila kwa Sasa bado mapema.Kwenye mazungumzo,Ukraine atakuwa kwenye position nzuri zaidi kuliko kama mazungumzo yangefanyika kipindi kile majeshi ya Urusi yapo ktk viunga vya Kiev.
Naam; kama ikitokea hivo, basi Ukraine atakwenda kwenye meza ya mazungumzo akiwa kifua mbele kwani Mrussi hatoweza au hatathubutu kumnyanyapaa au Kumwona ni duni na Mrussi ataongea kwa heshima na adabu mbele ya Ukraine kwani sasa Mrussi anajua kitakachompata zaidi endapo ataonesha ujeuri wowote ule.Tusubiri huenda mwakani tukashuhudia mazungumzo ya kutafuta suluhu.