Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Askari wa Urusi aona isiwe tabu, aamua kulipua grinedi lake ili afe tu, maisha hayana maana tena kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona namuona kama Putin kwa mbali akishuhudia
Halafu leo HIMARS iliwapelekea moto Urusi.
Kashapigwa kende, anaugulia. 😂😂. Bora yeye bado anahema, wenzake tayari wameshauma magego.Basi hapa Mrusi kwa akili yake anaona kajificha Drone na anaamini hamuoni🤣🤣🤣
View attachment 2463289
Hizo machine ndo game changer. Zimeipa credit sana Ukraine & USAM270A1 ni kama HIMARS tu. Sema hii inabeba makombora mengi na haikimbii speed kubwa
View attachment 2463295
2023 Russia lazima atepete. Wanaume hawatanii walimsubiri kwenye uchochoro siku nyingi, kashanasa mwenyewe. 😂😂Biden kashapitisha bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa mwaka 2023
View attachment 2463332