figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,961
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Katoto kazuri namna hiyo halafu liMrussi linakuja kuwaua. Aibu-Aibu na Laana kwa Mrussi.The true soldier fights not because he hates what's in front of him, but because he loves what is behind him.
View attachment 2463284
Darasa analopewa hapo na Ukraine linamtosha - amejua kwamba alikuwa hajui.Putin hatothubutu tena kuvamiavamia majirani hovyo
Mtu mzima hukubali jambo kwa ishara ukimbana.Darasa analopewa hapo na Ukraine linamtosha - amejua kwamba alikuwa hajui.
Sasa hivi hata vi nchi vidogo kama Estonia au Latvia hawezi kuvamia au kuvikoromea.Putin hatothubutu tena kuvamiavamia majirani hovyo
Inabidi aanze kusogeza mbali Meli na ndege zake za kivita.Waziri wa mambo ya nje wa US kasema Ukraine itapewa ATACMS
Ndo utakuwa mwisho wa hii Vita.Waziri wa mambo ya nje wa US kasema Ukraine itapewa ATACMS
Slava Ukraine [emoji1255]Ilikuwa 01.15 usiku leo majira ya Moscow. HIMARS ikifanya mambo yake kwenye kambi ya Urusi ya Alchevsk
View attachment 2463248
Slava Ukraine [emoji1255]The true soldier fights not because he hates what's in front of him, but because he loves what is behind him.
View attachment 2463284
Slava Ukraine [emoji1255]
Naomba sifa ya ATACMSWaziri wa mambo ya nje wa US kasema Ukraine itapewa ATACMS
MGM-140 Army Tactical Missile System (ATACMS) is a surface-to-surface missile. Makombora ya Masafa mrefu. Yakifika, Urusi wataanza kuondoka wenyewe. Makombora haya yapiga shabaha kwa usahihi umbali wa km 300. Pia inaweza kutumika kwenye M270 Multiple Launch Rocket System (MLRS) na HIMARS. Lina uzito wa kg 1,670.Naomba sifa ya ATACMS
Duh! Zaidi ya Uzito wa metric Tani moja na nusu, likianguka mahali tu kishindo chake si ni balaa aisee. Ole ni kwa Mrussi ambaye ndio mlengwa.MGM-140 Army Tactical Missile System (ATACMS) is a surface-to-surface missile. Makombora ya Masafa mrefu. Yakifika, Urusi wataanza kuondoka wenyewe. Makombora haya yapiga shabaha kwa usahihi umbali wa km 300. Pia inaweza kutumika kwenye M270 Multiple Launch Rocket System (MLRS) na HIMARS. Lina uzito wa kg 1,670.
View attachment 2463851View attachment 2463852View attachment 2463853View attachment 2463854View attachment 2463855View attachment 2463856
Amina kaka. Lau ikitokea hivyo tutamshukuru sana Mungu kwani hakuna vita nzuri hata siku moja;Ndo utakuwa mwisho wa hii Vita.
Uonevu tu. Hata Marekani wanapakana, mbona hamletei kibesi? Ukraine ina ardhi yenye rutuba, anaitamani sana. Kilimo kinakubali.. Ndo maana ni nchi ndogo ila inalisha Dunia kuanzia mafuta ya alizeti, ngano nadi viazi vya chips. Ina chuma pia tena cha puaAmina kaka. Lau ikitokea hivyo tutamshukuru sana Mungu kwani hakuna vita nzuri hata siku moja;
Japo sina undugu na Ukraine, lakini najua thamani ya binadamu na huko wapo binadamu wenzangu kama mm. Haipendezi wakateseka kutokana na uamuzi wa mtu mmoja kuanzisha vita - kitu ambacho kingeliweza kuepukika. Inasikitisha na kuhuzunisha sana kunapokuwepo kwa vita isiyo na sababu za kimsingi. Eti sitaki jirani yangu awe rafiki na fulani. Ndicho anachadai Putin.