OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Wamejiongeza fasta (wamesepa) kwani kichapo kinachotarajiwa kutolewa hapo sio cha kawaidaKuna dalili njema za Ukraine kuikomboa Svatove. Urusi imewakimbiza viongozi vibaraka wa Svatotve na kuwapeleka Luhansk, hii ni kwa sababu majeshi ya Ukraine yanakaribia kuingia ktk mji huo.