figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #9,781
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]
Very young. Mungu amjalie wepesi amalizane na hii vita salama aje huku familiani.Daryna "Zorya" yupo kwenye drones. Ana miaka 27
View attachment 2451633
Slava Ukraine [emoji1255]
naona wameamua kuvua magwanda ili wawe Raia kwa usalama wao.
Kifaru kinaungua na yeye anaungua, wengine kwenye magofu wanahaha Drone asije kufanya yake.
Utadhani HIMARS katua pale. Wamegeuka kuwa Ndafu. Fisi wamepata mishikaki ya bure kabisa.Hawa Warushi hiki ndo kilikuwa kiama chao. Hakuna mwenye sababu ilimleta Ukraine kuungua
View attachment 2452345