Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nadhani ana taarifa zile za Oktoba.
Hapana Hapana HAPANA. Taarifa za Oktoba???! Hii ni Desemba 2022 na sisi tumemwomba kwa mujibu/kwa kuzingatia alichotujulisha yeye. Ni heri umwache yy mwenyewe atupatie tulichoomba.
Usi-pre Empty Taarifa yake. 😳 😳
 
Kabisa roho zisuuzike.
Tunakuwa na hamu ya kujua sababu hali siyo nzuri kwa upande wetu.

Direction ya Kreminna na Svatove frontline yetu inarudishwa nyuma. Bakhumat nako Russia wanazidi kuirudisha zaidi frontline yetu, kuna maeneo mengi wameyachukua. Mapigano ni makali sana.

Naona Russia walikuwa wamefanya maandalizi kwa ajili ya winter, màana wameanza ku advance badala ya kuji defend kama ilivyokuwa awali. Frontline yetu inajilinda zaidi.

Ila mungu ni mwema vita hii lazima Russia wafurushwe.
 
20221217_134240.jpg
20221217_134253.jpg
20221217_134302.jpg
20221217_134307.jpg
20221217_134317.jpg
20221217_134320.jpg
20221217_134343.jpg
20221217_134350.jpg
20221217_134415.jpg
20221217_134432.jpg
20221217_134424.jpg
20221217_134440.jpg
 
Tunakuwa na hamu ya kujua sababu hali siyo nzuri kwa upande wetu.

Direction ya Kreminna na Svatove frontline yetu inarudishwa nyuma. Bakhumat nako Russia wanazidi kuirudisha zaidi frontline yetu, kuna maeneo mengi wameyachukua. Mapigano ni makali sana.

Naona Russia walikuwa wamefanya maandalizi kwa ajili ya winter, màana wameanza ku advance badala ya kuji defend kama ilivyokuwa awali. Frontline yetu inajilinda zaidi.

Ila mungu ni mwema vita hii lazima Russia wafurushwe.
Ukraine walianza na Mungu na watamaliza na Mungu. Mungu hajawahi kushindwa na chochote kile.
 
Huu ni mwezi wa Saba Urusi unarusha mabomu bakhmut. Ila Ukraine bado imara
View attachment 2450518
Huenda waliacha mizumu yao, si bure. Wako tayari kufa wote kwa ajili ya Bakhumat. Mji umebaki magofu lakini bado wanautaka.

Juzi Putin kasema anataka DONBAS ikombolewe haraka. Maana yake wata mobilize troops za kutosha ili kutimiza anachotaka Dictator. Huenda kukatokea vifo vingi sana Bakhumat kwa pande zote mbili.
 
Tumwombe Mungu sana atuepushie hilo walau tusalimike wengi.
 
Back
Top Bottom