Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu ni Mateka wa Jeshi la Urus anaitwa Ivan Gubadulin, aka "Guba" kutoka kikosi cha 25th brigade amekamatiwa Viunga vya Bakhmut. Picha za Wanajeshi waliokutwa kwenye simu yake, amesema ni kutoka Belarusi. Belarusi wanamsaidia Urusi. Belarusi ni jirani wa Ukraine Upande wa kaskazini
Your browser is not able to display this video.
 
Crimea ikichukuliwa meli zake zote ataondoa kwenye hiyo miduara. Ndiyo maana hata kwenye negotiation anayotaka moja ya hoja yake ni kutaka security Guarantee kutoka USA na NATO
Security Guarantee ipi wakati Ukraine Ilipa Russia hiyo Sevastopol naval base hata baada ya nchi hizo kuachana?Ukraine ilikuwa nyutro hadi pale Russia ilipo vamia Crimea.je ulitegemea Ukraine kubaki nyutro hata baada ya Russia kuivamia?
 
Warussia wajinga Sana pia ego ya usuper power.Russia inatishia majiran zake afu hapo hapo hutaki wajilinde? Russia yenyewe ndo inatakiwa itoe security Guarantee Kwa majiran zake ila Kwa Sela zake kila nchi itakuwa adui kwake
 
Hawa walirushwa kama popcorn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kweli hiyo kitu inawakaanga na kuwarudisha kama popcorn πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…