figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #9,881
Supa-pawa hawezi kufikia hali hiiKingine kinachowaumiza Warusi ni ukosefu wa vifaa vya kujikinga na baridi kali. Morali yao inashuka kila siku.
Nimesoma mahali, imesemwa kuwa mkuu wa vikosi vya Wagner anafikiria kuwachukua hadi wafungwa wa kike nao wakapigane msitari wa mbele. Anataka wakawe manesi, snipers na saboteurs
Labda kama wanataka kuwatoa sadaka hao wafungwa wa kike. Hali ni tete sana Svatove, Kreminna na Bakhmut. Kwa news za leo na jana ambazo zime trend sana. Kuna heavy fighting, Russia wametega mabomu (mines) mengi sana na kufanya Ukraine forces wa advance taratibu.Kingine kinachowaumiza Warusi ni ukosefu wa vifaa vya kujikinga na baridi kali. Morali yao inashuka kila siku.
Nimesoma mahali, imesemwa kuwa mkuu wa vikosi vya Wagner anafikiria kuwachukua hadi wafungwa wa kike nao wakapigane msitari wa mbele. Anataka wakawe manesi, snipers na saboteurs
Hiyo ndo nguvu ya umma 😂😂😂Warusi hawatakiwi Donetsk. Wakipaki gari vibaya wanakwenda na maji
View attachment 2459895
Licha ya kumobilize watu wengi wakapigane, Urusi inajikuta kwenye wakati mgumu kwa sababuLabda kama wanataka kuwatoa sadaka hao wafungwa wa kike. Hali ni tete sana Svatove, Kreminna na Bakhmut. Kwa news za leo na jana ambazo zime trend sana. Kuna heavy fighting, Russia wametega mabomu (mines) mengi sana na kufanya Ukraine forces wa advance taratibu.
Russia wanazidi kupeleka troops zaidi pamoja na kwamba wanauawa askari wengi (they are suffering loss) na majeruhi wengi. Wameamua kufa kiume kutetea hiyo miji mitatu. Maana wakifurushwa svatove na Kreminna. Miji ya Rubizhne, Severodonetsk na Lysychansk zitakombolewa kiulaini kwa kuwa Northwest supply route ya Russia itakuwa imekatwa kabisa.
Jana wamehamisha ndege (bombers) zao kutoka Saratov (Angels air base) baada ya Drone ya Ukraine kwenda kuwasalimia. Wemezisogeza mbali zaidi, haijajulikana wamezipeleka wapi.Licha ya kumobilize watu wengi wakapigane, Urusi inajikuta kwenye wakati mgumu kwa sababu
1. Hali yao ya kiuchumi imeanza kuyumba, hii ni baada ya nchi za west kukubaliana kuwa watanunua mafuta ya Urusi kwa bei watakayoipanga wao, hawatazidisha hata kama kuna shida kiasi gani ya mafuta. Hali hii imesababisha Urusi ikose mapato ya kutosha.
2. Silaha za Ukraine ni precision, yaani zikitumwa zipige sehemu zinapigw palepale, tofauti na mrusi ambaye makombora yake uoiacha yale machache ambayo ni guided , hana efficiency ya kutosha kwenye kupiga target.
Inasemekana walikuwa wanajiandaa kurusha Salvo nyingine ya cruise missile Ukraine leo, lakini wakaahirisha baada ya huo uwanja wa Engels kupigwaJana wamehamisha ndege (bombers) zao kutoka Saratov (Angels air base) baada ya Drone ya Ukraine kwenda kuwasalimia. Wemezisogeza mbali zaidi, haijajulikana wamezipeleka wapi.