Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wa mchambia wima na waukraine wa tandahimba je vita enu bado ijaisha tu
 
20221227_145031.jpg
 
Kingine kinachowaumiza Warusi ni ukosefu wa vifaa vya kujikinga na baridi kali. Morali yao inashuka kila siku.

Nimesoma mahali, imesemwa kuwa mkuu wa vikosi vya Wagner anafikiria kuwachukua hadi wafungwa wa kike nao wakapigane msitari wa mbele. Anataka wakawe manesi, snipers na saboteurs
Supa-pawa hawezi kufikia hali hii
 
Kingine kinachowaumiza Warusi ni ukosefu wa vifaa vya kujikinga na baridi kali. Morali yao inashuka kila siku.

Nimesoma mahali, imesemwa kuwa mkuu wa vikosi vya Wagner anafikiria kuwachukua hadi wafungwa wa kike nao wakapigane msitari wa mbele. Anataka wakawe manesi, snipers na saboteurs
Labda kama wanataka kuwatoa sadaka hao wafungwa wa kike. Hali ni tete sana Svatove, Kreminna na Bakhmut. Kwa news za leo na jana ambazo zime trend sana. Kuna heavy fighting, Russia wametega mabomu (mines) mengi sana na kufanya Ukraine forces wa advance taratibu.

Russia wanazidi kupeleka troops zaidi pamoja na kwamba wanauawa askari wengi (they are suffering loss) na majeruhi wengi. Wameamua kufa kiume kutetea hiyo miji mitatu. Maana wakifurushwa svatove na Kreminna. Miji ya Rubizhne, Severodonetsk na Lysychansk zitakombolewa kiulaini kwa kuwa Northwest supply route ya Russia itakuwa imekatwa kabisa.
 
Licha ya kumobilize watu wengi wakapigane, Urusi inajikuta kwenye wakati mgumu kwa sababu
1. Hali yao ya kiuchumi imeanza kuyumba, hii ni baada ya nchi za west kukubaliana kuwa watanunua mafuta ya Urusi kwa bei watakayoipanga wao, hawatazidisha hata kama kuna shida kiasi gani ya mafuta. Hali hii imesababisha Urusi ikose mapato ya kutosha.

2. Silaha za Ukraine ni precision, yaani zikitumwa zipige sehemu zinapiga palepale, tofauti na mrusi ambaye makombora yake ukiacha yale machache ambayo ni guided , hana efficiency ya kutosha kwenye kupiga target.
 
Licha ya kumobilize watu wengi wakapigane, Urusi inajikuta kwenye wakati mgumu kwa sababu
1. Hali yao ya kiuchumi imeanza kuyumba, hii ni baada ya nchi za west kukubaliana kuwa watanunua mafuta ya Urusi kwa bei watakayoipanga wao, hawatazidisha hata kama kuna shida kiasi gani ya mafuta. Hali hii imesababisha Urusi ikose mapato ya kutosha.

2. Silaha za Ukraine ni precision, yaani zikitumwa zipige sehemu zinapigw palepale, tofauti na mrusi ambaye makombora yake uoiacha yale machache ambayo ni guided , hana efficiency ya kutosha kwenye kupiga target.
Jana wamehamisha ndege (bombers) zao kutoka Saratov (Angels air base) baada ya Drone ya Ukraine kwenda kuwasalimia. Wemezisogeza mbali zaidi, haijajulikana wamezipeleka wapi.
 
Inasemekana walikuwa wanajiandaa kurusha Salvo nyingine ya cruise missile Ukraine leo, lakini wakaahirisha baada ya huo uwanja wa Engels kupigwa
 
Azov wakiwapelekea moto wagners wa Urusi huko Bakhmut. Ukraine ilichelewa kuwapeleka Azov. Azov wana hasira sana na Mrusi. Warusi wanawaita Azov Magaidi kwa jinsi wanavyowaua bila huruma
 
Back
Top Bottom