figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #10,081
Kumbe wanajua what is next.
Mrussi atanyoosha maelezo tu. We suburi .Hakuna kitu kinawauma Urusi kama kuona aviation ya Ukraine ikifanya kazi vizuri. Wamejaribu kuharibu mifumo ya anga ya Ukraine bila mafanikio. Hawa ni Frontline ya Ukraine wakisaidiwa na Chopa huko Bakhmut
View attachment 2468863
Hawa wazee wa HIMARS ni kitu ingine aisee. Wakifika huwa wanawaachia huzuni na masikitiko halafu wanasubiri muathirika aseme mwenyewe anavyojisikia.Angalia base ya Urusi ilivyo haribiwa na HIMARS 🤣🤣. Warusi hawaamini
View attachment 2469089
Halafu wanakosa cha kufanya.Kumbe wanajua what is next.
Na kweli wapo watu walisemaga Mrussi hakuna rangi ataacha kuona. Sasa hii ni HIMARS au HYMERS ? Bado-bado kidogo huko tuendako ataita Guta ni Gepard. Hahahaaa 😃 😃Urusi medai eti wameharibu HIMARS 20 kama kulipiza kisasi cha wanajeshi wao 300 waliokufa sikukuu ya Mwaka Mpya.
View attachment 2468934
Safi mnoo. Na wakishajua hivyo wanambutua chap' au siyo.Control room Frontline ya Ukraine.. Hii imeunganishwa kwenye satellite na askari watembea kwa miguu na Drones za Ukraine. Hivyo ni rahisi kujua adui yupo wapi na ana silaha gani
View attachment 2468880
Hongera sana Ukraine kwa Kazi nzuri. Well done. Slava Ukraine.Ukraine wameteka Silaha ya Ulinzi wa anga aina ya S-300 ya Urusi.
View attachment 2468850
Slava Ukraine [emoji1255]Hii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.
Picha hapa chini ndo jengo sehemu walipokuwa.
View attachment 2467337View attachment 2467338
Slava Ukraine [emoji1255]Hapa ni wakati wa HIMARS ikituma mzigo, Urusi wakatupa majibu ya idadi walokufa huko Makiivka. Hata hawajaulizwa kama HIMARS imepatia target ili Urusi ndo wamesema... Huwa haikosei hata uwe usiku menene na mvua inanyesha
View attachment 2467340
Slava Ukraine [emoji1255]Angalia Ulinzi wa anga umavyozuia mashambulizi ya Missile na drones zilizoelekezwa kushambulia Kyiv. Ila Gepard inapiga mzigo hadi basi
View attachment 2468169
Slava Ukraine [emoji1255]View attachment 2468598View attachment 2468599View attachment 2468600View attachment 2468601View attachment 2468602View attachment 2468603View attachment 2468604View attachment 2468605View attachment 2468606View attachment 2468607View attachment 2468608View attachment 2468609View attachment 2468610View attachment 2468611View attachment 2468612View attachment 2468613View attachment 2468614View attachment 2468615
Slava Ukraine [emoji1255]Ukraine wameteka Silaha ya Ulinzi wa anga aina ya S-300 ya Urusi.
View attachment 2468850
Slava Ukraine [emoji1255]Hakuna kitu kinawauma Urusi kama kuona aviation ya Ukraine ikifanya kazi vizuri. Wamejaribu kuharibu mifumo ya anga ya Ukraine bila mafanikio. Hawa ni Frontline ya Ukraine wakisaidiwa na Chopa huko Bakhmut
View attachment 2468863
Slava Ukraine [emoji1255]Control room Frontline ya Ukraine.. Hii imeunganishwa kwenye satellite na askari watembea kwa miguu na Drones za Ukraine. Hivyo ni rahisi kujua adui yupo wapi na ana silaha gani
View attachment 2468880