Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mimi wagner siwaelewi labisa. Wameweka nini eneo la Bakhmut na soledar. Wanauawa lakini wanarudi tena kwa kasi zaidi.
Basi isiwe ni shida. Wameamua hapo Bakhmut na soledar ndo ukomo; watamalizikia hapo hadi mtu wa mwisho. Mambo ya kukimbizana-kimbizana wameamua iwe basi.
 
Mbona hawazikwi Sasa ?
Mkuu, Unataka uhudhurie mazishi? 😃 😃 😃 😀
Ilishawekwa clip moja hapa iliyoonesha mazishi ya mizoga ya Warussi. (Haifurahishi)
BTW: Tuko interested na mafanikio (including kichapo kinachotolewa kwa Mrussi) zaidi ya habari za waliokufa wanazikwa/huzikwa wapi au inakuwaje - japokuwa hizo habari zinapatikana/hutumwa mara moja-moja e.g. pale AZOV walipokuwa hawachukuimateka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…