figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #10,181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghashiraga gheete!Kifaru kinaruka mitaro kama chui.
Hiiìiiiiiiiii baghosha 😂😂😂😂
Basi isiwe ni shida. Wameamua hapo Bakhmut na soledar ndo ukomo; watamalizikia hapo hadi mtu wa mwisho. Mambo ya kukimbizana-kimbizana wameamua iwe basi.Mimi wagner siwaelewi labisa. Wameweka nini eneo la Bakhmut na soledar. Wanauawa lakini wanarudi tena kwa kasi zaidi.
Hapo sasa wameshajua walikuwa hawajui.
Mbona hawazikwi Sasa ?
Mkuu, Unataka uhudhurie mazishi? 😃 😃 😃 😀Mbona hawazikwi Sasa ?