Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ndugu, with due respect. Wewe kuanzisha mada haimaanishi una own mada. From now on tutachangia tunavyotaka na hutotufanya lolote.

Nimekuheshimu sana ila inaonekana hujiheshimu.

Mimi ni pro Ukraine na nimesharusha mavideo na mapicha chungu nzima humu ya kuonyesha mafanikio ya Ukraine.

Ila kwa kuwa unaanza kubehave kama mjinga basi tutakwenda hivyohivyo from now on!

Na Hatoki mtu hapa!

Sihitaji heshima yako. Sababu sheria zinazoongoza mijadala zipo. Huwezi kupost kitu nje ya mada. Pambana na hali yako. Urusi tutawabutua hadi mtie adabu. Unakuja kwenye mada ya mjinga kufanya nini kama nawe si mjinga? Hii ni mada ya picha si vinginevyo. Mada yenu ya matusi msiikimbie nenda mtukane huko
Wakuu mnahitilafiana padogo sana. Mko pamoja kisha mwagombana tena? Haijakaa sawa. Ulimi kiungo hatari sana.
 
Hawa ni Dzhokhar Dudayev Battalion wanajeshi wa kujitolea kutoka Chechen, wanaisaidia Ukraine. Aka yao ni ADAM. Adam ndo Mkuu wao. Kauli mbui yao ni: FREDOM OR DEATH.
20230112_072533.jpg

 
Chechen wana Vikundi Vinne vinasaidia Ukraine kuoambana na Urusi. Ukiachilia mbali hawa Dzhokhar Dudayev Battalion, Vikundi vingine ni Sheikh Mansur Battalion, Separate Special Purpose Battalion na Ruslan Gelayev Battalion. Wote hawa ni wamoja, wanajiita Peacekeeping.
file-20220318-15-yyxjky.jpg
 
Back
Top Bottom