kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava Ukraine [emoji1255]Meli nyingi ya Kivita ya Urusi, imezalishwa mto Dnipro
View attachment 2477550
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]Meli nyingi ya Kivita ya Urusi, imezalishwa mto Dnipro
View attachment 2477550
Slava Ukraine [emoji1255]HII THREAD SI YA KUSHINDANISHA URUSI NA UKRAINE BALI PICHA NA VIDEO ZA MAFANIKIO YA UKRAINE WALIO FRONTLINE VITANI.
Slava Ukraine [emoji1255]Norway imetoa msaada wa Generator 100 kwa Frontline wa Ukraine
View attachment 2477688View attachment 2477689View attachment 2477690
Slava Ukraine [emoji1255]Hispania imetoa anesthesia devices kwa walinzi wa Mipakani wa Ukraine. Hawa wanaolinda mipaka ni tofauti na walio Frontline. Mfano; Tukikomboa Eneo la Mpakani, wanabaki wao wanalinda.
View attachment 2477695View attachment 2477696
Slava Ukraine [emoji1255]Our defenders
View attachment 2477707
Slava Ukraine [emoji1255]Msemaji wa Ukraine upande wa Mashariki Colonel Serhiy Cherevaty, amekanusha habari zinazosambazwa na Uruai kwamba Soledar ipo chini ya Urusi. Alikuwa akiongea na Wanahabari
View attachment 2477711
Naliamini jeshi la Ukraine. Hawatoi habari za Uongo. Wakiretreat wamasema.
Mhh.Hawa "wazee" Nawaheshimu sana- Shikamoo HIMARS. Natamani sana wafike kule Bakhmut na Soledar wakahamulie kesi.
Slava Ukraine [emoji1255]Huyu yupo Frontline mjini Soledar. Anasema anashangaa habari za Urusi kusema Soledar imechukuliwa na Urusi. Amekiri kwamba mapambano ni makali ila Ukraine bado inalinda frontline yake na hawajaretreat. Hapo alipo ni Soledar. Angefikaje kama ingekuwa chini ya Urusi?
View attachment 2477726
Hahahaaa!! Aibu yaooooKamanda wa Vikosi vya Urusi anayeitwa Gen Surovikin aka Amargadon, ametumbuliwa. Ni baada ya kuwa anatoa habari za Uongo. Anadai Urusi imeteka Sehemu fulani akijua ni uongo. Sasa kafurushwa. Wamemsaidia, angefia Ukraine
View attachment 2477855
Naona kama kuna kisago kimetembezwa hapo. 💪
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi wanshikana mashati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2477870
Slava Ukraine [emoji1255]
Ni kawaida ya Wastaarabu huwa hawapendi kuoneana-oneana hovyo, kuoneshana ubabe au kumpokonya mdogo mali yake; kisa eti una maguvu.UN ipo na Ukraine. Urusi atajua hajui
View attachment 2477894
Safi sana. Hao ndo Wagner wanaosifiwa eti ni professional fighters wanajikusanya kama makondoo wakati wa mvua.Jinsi Drone ya Ukraine ilivyofuatilia askari wa Wagner kabla ya kuwaangamiza kwa mizinga.
View attachment 2477908
Hao waliotembezewa kichapo hapo au walikuja tena wengine?Hyo soledar Wagner washaichukua
Ndugu, with due respect. Wewe kuanzisha mada haimaanishi una own mada. From now on tutachangia tunavyotaka na hutotufanya lolote.
Nimekuheshimu sana ila inaonekana hujiheshimu.
Mimi ni pro Ukraine na nimesharusha mavideo na mapicha chungu nzima humu ya kuonyesha mafanikio ya Ukraine.
Ila kwa kuwa unaanza kubehave kama mjinga basi tutakwenda hivyohivyo from now on!
Na Hatoki mtu hapa!
Wakuu mnahitilafiana padogo sana. Mko pamoja kisha mwagombana tena? Haijakaa sawa. Ulimi kiungo hatari sana.Sihitaji heshima yako. Sababu sheria zinazoongoza mijadala zipo. Huwezi kupost kitu nje ya mada. Pambana na hali yako. Urusi tutawabutua hadi mtie adabu. Unakuja kwenye mada ya mjinga kufanya nini kama nawe si mjinga? Hii ni mada ya picha si vinginevyo. Mada yenu ya matusi msiikimbie nenda mtukane huko