Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Jina la thread linasemaje mzee kwanini mnangangania muweke yasiyomo asee ila sisi wabongo ni shida asee!!
 
 
Kama Urusi imembadili Kamanda mkuu wa kusimamia vita huko Ukraine na hajamaliza hata miezi minne, basi inaonekana Putin haridhishwi na maendeleo ya vita.
Kumuweka Chief of the General Staff ku oversee and lead Ukraine war maana yake Putin kakubali kuwa hii ni vita (war) na siyo SMO. Huyu jamaa pia ni First Deputy Minister of Defence. Kwa Lugha nyingine huyo ndo CDF wa Tanzania.
 
Sawa, endelea kuamini hivo, lakini ukweli utabaki kama ulivyo kuwa Soledar iko under control of Russian troops. Wanajeshi wetu (frontline) walishatolewa ndani ya mji
Wako nje ya mji wa Soledar.
 
Sawa, endelea kuamini hivo, lakini ukweli utabaki kama ulivyo kuwa Soledar iko under control of Russian troops. Wanajeshi wetu (frontline) walishatolewa ndani ya mji
Wako nje ya mji wa Soledar.

Sijajua next move ya adui ni ipi. Lakini makamanda wetu inabidi wakae chini waevaluate upya mbinu za kupigana nae katika ukanda ule wa mashariki.

Hofu kubwa niliyonayo:

1. Wale askari-raia (mobilized) wa adui, kadri siku zinavyoenda wanagain experience mdogomdogo. Itafikia kipindi wataizoea vita na kukomaa. Wataanza kuleta shida.

2. Haya mafanikio kidogo ambayo adui kapata, yanaweza kuwapa confidence na kuanza kupush upya

Kinachonipa matumaini.
1. Nchi za West zimeshainvest sana kwenye hii vita, kwa hiyo kumruhusu adui ashinde ni sawa na wao kuonekana kufeli. Naamini hawatokubali adui ashinde

2. Pili, Uchumi unazidi kujamba huko kwa Adui. Hii vita ikiendelea adui hatoweza kusustain.

3. Kama nchi rafiki za west zitatupa silaha tunazohitaji, hasa Vifaru na mizinga ya masafa marefu tutapiga counter offensive nyingine na kuwapush nyuma
 
Umrpotea njia. Hii inahusu frontline ya Ukraine sio usafiri wa treni. Kuna post za Wasafiri kapost huko. Ukiwa huna cha kuongea kaa kimya kama wenzio wanaosoma kimya kimya. Hata like usigonge
Shida ninini!
Kama uzi ulifungua acha watu watoe mawazo yao.
Utaweza kila kitu hutaki, unataka wacoment unachotaka wewe! Basi si muufute au pelekeni kwingineko basi.
 
Huyu Askari wa Ukraine kaelezea vizuri sana situation ilivyo huko Soledar. kaeleza vizuri na kunipa hope sana!

View attachment 2480175
Hawa reconnaissance tunaweza kuwaita wapelelezi, kabla majeshi hayajafika, wao wanakuwa washafika zamani na wanajua jeshi lao litapita wapi na wapi kuna vikwazo. Wanatumia Drones, ndege za Upelelezi Magari, pikipiki nk. Saa nyingine wanajifanya raia wakulima ili kujua kinachoendelea. Then wanatoa taarifa kwa vikosi hali ilivyo. Nawakubali sana.
 
Kazi moja kubwa ya reconnaissance ni kutafuta Maadui wamejificha wapi wana Silaha gani. Wanakuja na vipimo vya latitude na longitude adui alipo. Wazee wa survey na wapelelezi wa Uwanja wa vita. Adui akikamatwa anapelekwa kwenye hiki kikosi kimtwange maswali.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu Askari wa Ukraine kaelezea vizuri sana situation ilivyo huko Soledar. kaeleza vizuri na kunipa hope sana!

View attachment 2480175
Very clear. Nimeelewa kwa nini wamewapisha katikati ya mji. "It is just to Trap them".

Nadhani pia wingi wa maiti za warusi zinazotoa harufu ni sababu mojawapo ya wao kuondoka maeneo hayo. "Conducive fighting environment". Trenches zimejaa maiti. Na russia hawachukui mizoga yao.

Ukraine wanapigana kwa akili na wameshawasoma kisaikolojia adui wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…