Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Bado Mikoa michache tu. Hawa wavamizi tutawaondoa. Mungu akisaidia tukaikomboa Izyum, basi.
 
Warusi wanakanusha meli yao kupigwa na jeshi la Ukraine wanadai risasi ndo zimelipuka.Mkuu vipi wanajeshi ndani ya huyo meli hawakufa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Warusi tu walokufa. Hadi zana za Kivita. Hawa walikuwa Wanaenda Odessa. Sisemi Odessa haiwezi Vamiwa, lakini kazi ipo, wamejipanga sana, kuivamia Odessa ni kutumia akili. Urusi ilijinya kudondosha askari wa Miamvuli pale, wakawa wanalipuliwa hewani kabla ya kufika chini. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetoa taarifa ya meli yao kulipuliwa nikiipata tena naiweka hapa. Sikuichukua. Wanaona aibu sababu ilikuwa ina zana za Ulinzi. Wanajeshi wa Urusi wanaogopa kusema sababu wakisema wanageukwa kwamba ni wasaliti. Wanaambiwa wamefanya uzembe.
 
Talatibu tunaenda kuuchukua mji wetu wa kimkakati na hii ni ya Sasa hiviView attachment 2187180

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atusaidie tukamate huu mji. Sababu ndo nji ya pekee ya kuwaokoa watu wa Mariupol. Urusi nguvu zao zote wamelekeza pale. Hadi majeshi sehemu nyingine wameambiwa waende kulinda mji wa Izyum. Tutaupata ila watu watakufa sana, tunajitahidi kwenda taratibu sababu urusi wanaficha Vifaru kwenye makazi ya watu. Nyumba moja unakuta ina vifaru 3. Ukilipua unaondoka na Wananchi. Sababu wananchi wamewagomea kuondoka sababu wanawatumia kama ngao
 
Danny anakuambia ana mishahara ya miezi miwili benki ila hana sehemu pa kuzitumia. Hana Off wala hakuna duka la kununua kitu Izyum
 
Angalia Warusi wanavyo hangaishwa na Drone, hata hawajui wakimbilie wapi. Unawaacha wanakimbia wakichoma unawalipua🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Izyum kuna kikosi ch Ukraine kinaitwa Territorial Defence Unit. Hapa wakiwa wameteka Vifaru Viwili vya Urusi.

Hawa Territorial Defence Unit walikuwa Donbas. Wamekuja kusaisia Izyum
 
Mungu kasaidia, leo Urusi tumewarudisha Nyuma Kilometa 30 maeneo ya Izyum. Convoy yao tumeiteketeza.
 
Baada ya kuondoa daraja lililokuwa linatumiwa na Urusi kupeleka silaha Izyum, sasa wanajeshi wa Urusi wamebakiwa na njia moja tu. Nayo leo Mungu akijalia tunaikata. Jana Urusi walipoteza sana Darajani.


 
Ndege ya Urusi aina ya Ka-52 attack helicopter imelipuliwa na kuanguka Mkoani Kharkiv imeangushwa na kikosi 93rd Mechanized Brigade
 
Mm bado cjaelewa point ya hii mada, kwahy Ukraine wanashirikiana kuharibu nchi yao kwa kuwapiga Russia ndani ya nchi yao wenyewe.? Kwann wasitume makombora au wanajeshi kwenda Russia wapiganie huko kwenye ardhi ya Russia.?
 
Hii mada ipo kipropaganda kimuonyesha Ukraine anamdhibiti zaidi Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…