figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,001
Bado Mikoa michache tu. Hawa wavamizi tutawaondoa. Mungu akisaidia tukaikomboa Izyum, basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warusi wanakanusha meli yao kupigwa na jeshi la Ukraine wanadai risasi ndo zimelipuka.Mkuu vipi wanajeshi ndani ya huyo meli hawakufa kweli?Ya Moscow hii. Haya Warusi kazime moto tuone
View attachment 2186726
Sio Warusi tu walokufa. Hadi zana za Kivita. Hawa walikuwa Wanaenda Odessa. Sisemi Odessa haiwezi Vamiwa, lakini kazi ipo, wamejipanga sana, kuivamia Odessa ni kutumia akili. Urusi ilijinya kudondosha askari wa Miamvuli pale, wakawa wanalipuliwa hewani kabla ya kufika chini. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetoa taarifa ya meli yao kulipuliwa nikiipata tena naiweka hapa. Sikuichukua. Wanaona aibu sababu ilikuwa ina zana za Ulinzi. Wanajeshi wa Urusi wanaogopa kusema sababu wakisema wanageukwa kwamba ni wasaliti. Wanaambiwa wamefanya uzembe.Warusi wanakanusha meli yao kupigwa na jeshi la Ukraine wanadai risasi ndo zimelipuka.Mkuu vipi wanajeshi ndani ya huyo meli hawakufa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atusaidie tukamate huu mji. Sababu ndo nji ya pekee ya kuwaokoa watu wa Mariupol. Urusi nguvu zao zote wamelekeza pale. Hadi majeshi sehemu nyingine wameambiwa waende kulinda mji wa Izyum. Tutaupata ila watu watakufa sana, tunajitahidi kwenda taratibu sababu urusi wanaficha Vifaru kwenye makazi ya watu. Nyumba moja unakuta ina vifaru 3. Ukilipua unaondoka na Wananchi. Sababu wananchi wamewagomea kuondoka sababu wanawatumia kama ngaoTalatibu tunaenda kuuchukua mji wetu wa kimkakati na hii ni ya Sasa hiviView attachment 2187180
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo yupo IzyumTalatibu tunaenda kuuchukua mji wetu wa kimkakati na hii ni ya Sasa hiviView attachment 2187180
Sent using Jamii Forums mobile app