Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Leo tumebadilisha Wafungwa wa Kivita 116. Wapo waliokamatwa Mariupol, Kherson na Bakhmut. Pia mii ya Wanajeshi wa kigeni waliokuja kujitolea Ukraine ya Christopher Matthew Perry na Andrew Tobias Matthew, nayo imerudi kwa kubadilishana
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Mnamkumbuka Igor Mangushev? Ni Mwanajeshi wa Kukodi. Ana kikundi chake cha jeshi alichounda huko Urusi kuja kupambana Ukraine. Kikundi chake kinaitwa ENOT ambacho kinalipwa na Putin hadi Vifaa wanapewa.

Mara ya mwisho alionekana jukwaani kashikilia Fuvu la mtu na kudai ni kichwa cha Askari wa Ukraine ambaye alimuua huko Azovstal Mariupol. Na yeye leo kapewa za kichwa. Japo kawahishwa Hospital, akipona atajifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…