figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #11,101
Mkuu siwezi kukudanganya. Kitu huna uhakika fuatilia mwenyewe. Mimi nakupa hints tu.Nimefurahi, nikatoa pumzi kubwa hadi ushuzi umenitoka.πππ Hizi taarifa na ziwe za ukweli.
Inashangaza kweli. Yani vifaru vya nduli vinawaka kama makaratasi ya A4 mbele ya mabomu ya Ukraine. au vimetengenezwa kwa kutumia ceiling board?Kifaru si kinatakiwa kiundwe na chuma imara,mbona hivi chuma yake ni kama madebe?
au ndo maana vikikutana na bomu vinasambaratika kama vibatari
Hahahaaa. Jamaa anagalagala kama anang'atwa na siafuπ
Putin Hawezi kujali hata kidogo. Yeye anachotaka ni kazi ipigwe kwa malipo aliyotoa kwa hao Wagner gp. na masharti ya Mkataba yazingatiwe kikamilifu. Laa; Huwezi kazi unaogopa vifo, Ok Vunja mkataba na ulipe gharama zitokanazo na uvunjaji wa Mkataba. Ngoma ni nzito kwa Wagner kwa sababu kambi kuu(HQ)ya Wagner PMC ipo hatua chache tu kutoka HQ ya Urusi. Wagner aki-misbehave atafinywa masikio.Wiki iloisha, Urusi ilipoteza wanajeshi 1000(Elfu Moja) ndani ya siku mbili wakijaribu kuuteka mji wa Vuhledar na Putin wala hajali
View attachment 2518777
MBona askarinwa Ukrain wenyewe hawana hizi tabia kaka yaani wao wanakuwaga wote wanavaa combat za aina moja ata kama ni kundi la watu 100 au 50 lakini wanakuwa na uniform moja je Ukrain yenyewe haina vikosi tofauti tofauti vinavyoshirikiana au ni kaka emu tueleweahe vyema apa tujueKutokana na Mazingira ya baridi. Pia ni Vikosi tofauti. Wengine ndani unakuta kavaa nguo nyingi, ili akizidiwa anavua sare ya juu anajifanya raia wa Ukaine.
Ndo najiuliza siku Tz ikijipeleka vitani itakuwaje, tutasagwa sana maana sidhani kama APC ma IFV zinazidi 2000Kweli kabisa. Hata mimi naona hivyo. Vifaru na Magari watakuwa wanayabania. Sababu yanateketezwa sana. Vita si mchezo. Wanakimbia ovyo kama ngiri
View attachment 2518413
Jana nilikuwa nafatilia Invasion ya US na Allies Iraq 1991, pale ndege zilitumika sana kuharibu miundombinu ya kijeshi tu kwa wiki 5 hadi Sadam akakubali kurudi nyuma.Urusi wao wanataka wagombanie Mjini ili wabomoe Makazi ya watu. Wanapiga Makombora Makazi ya watu kisha wanajisifia. Hawa wanafanya uharibifu tu. Msituni hawataki, wanataka vita ipiganwe mjini.. Hapa ni Vuhledar
View attachment 2518760
Kile kipigo kilikuwa surprise kubwa kwao, hawatasahau maana walipoteza sana. Baada ya hapo wameanza watuma usikuWiki iloisha, Urusi ilipoteza wanajeshi 1000(Elfu Moja) ndani ya siku mbili wakijaribu kuuteka mji wa Vuhledar na Putin wala hajali
View attachment 2518777
Hizi silaha Ukraine akipewa huenda akazitumia kushambulia ndani ya Urusi hivyo mgogoro utachukua sura mpya ya hatari na Marekani hataki hilo.Vipi kuhusu ATCAMS.
Nasikia USA kazingua kuzitoa. Hii itakuwaje?
Hatari. Yote hayo Lengo ni kukimaliza kizazi cha Ukraine. Ndiyo maana mungu kasimama upande wa Ukraine. Hawatafanikiwa kamwe.Hivi ndivyo TOS-1A inafanya kazi. Ila zimeshindwa kutoboa Vuhledar
View attachment 2518812
Hawa Ukraine wapo kwao hawana cha kujificha na Urusi ni wavamizi wanajishitukia. Urusi ilitakiwa ipambane na Marekani au British huko. Ukraine ni kumuonea ili aonekane ana nguvu. Mbona Poland haigusi? Ukraine japo ndogo inamjambisha balaa. Vipi angechokoza Ujerumani au Marekani? Urusi muda huu ingekuwa ishafutwaMBona askarinwa Ukrain wenyewe hawana hizi tabia kaka yaani wao wanakuwaga wote wanavaa combat za aina moja ata kama ni kundi la watu 100 au 50 lakini wanakuwa na uniform moja je Ukrain yenyewe haina vikosi tofauti tofauti vinavyoshirikiana au ni kaka emu tueleweahe vyema apa tujue
Urusi aliharibu mji wa Bucha hadi hautamaniki. Anaona wivu. Ukraine imejengwa kwa mpangilio hadi mitaa, yeye mji wake kama mbagala kibonde maji au Mburahati. Anabomoa nyumba aonekane mbabe mbona kambi za jeshi haendi. Na ubabe wote, Urusi imeshindwa kukanyaga Volyn, Lviv wala hajawahi kanya mkoa Livne. Wala hiyo mikoa haijawahi kimbia nchi. Anaonea Mikoa aliyo pakana nayo. Kuna makombora yanatoka Urusi hadi Ukraine moja kwa moja. Ukraine inataka silaha za masafa marefu ila Marekani bado anabana.Jana nilikuwa nafatilia Invasion ya US na Allies Iraq 1991, pale ndege zilitumika sana kuharibu miundombinu ya kijeshi tu kwa wiki 5 hadi Sadam akakubali kurudi nyuma.
2003 alitumia mbinu hiyo hiyo na kwa chini ya Mwezi tayari alikuwa yuko Makao Makuu.
Hakubomoa nyumba za watu
Urusi sasa, kila sehemu yeye ni kubomoa tu hajali uhai wa watu.
Ukiangalia Mariupol, Bakhmut, Vuhledar huko pote kaharibu mno