Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukiangalia hii vita urusi vs ukraine binadamu hana thamani kabisa, ardhi inathaminiwa kuliko uhai
Yap! Unajua ni kwa nini? Ardhi haiongezeki lakini binadamu wanaongezeka sana tena kila siku. Na Mungu hana mpango wa kuumba au kutengeneza ardhi nyingine tena ya ziada. Kwa hiyo hii iliyopo ni ya kulinda sana.
 
Poland kajifunza kutoka kwenye historia.
Wao walikuwa wahanga wa mwanzo wa kuvamiwa na Majeshi ya Hitler enzi za vita kuu ya pili. Sasa hivi hataki kukaa kilegelege
Amewapa "advertise" wale wote wanaodhani watafanya kama Urussi alivyofanya kwa Ukraine -Uvamizi. Hako kamchezo wajue kukingali mapema kwamba hatakagi kabisa.
 
Belarusi anamtishia Maisha Poland kisa anashirikiana na Ukriane. Sasa leo jumapili wanatisha watu kwa kuonesha uimara wa jeshi lao. Haina tofauti na Jeshi letu tu. Eti wanapasua jiwe kifuani mara tofari kwa kichwa🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine Teknolojia inawasaidia. Urusi walijua watapigana ile piga nikupige. Bila kujua Warusi 20 watapambana na Drone moja. Hii tumaweza kuiita cyber war? Drone za Ukriane zenye vpn
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…