OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Yap! Unajua ni kwa nini? Ardhi haiongezeki lakini binadamu wanaongezeka sana tena kila siku. Na Mungu hana mpango wa kuumba au kutengeneza ardhi nyingine tena ya ziada. Kwa hiyo hii iliyopo ni ya kulinda sana.Ukiangalia hii vita urusi vs ukraine binadamu hana thamani kabisa, ardhi inathaminiwa kuliko uhai