figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #11,241
God forbid! Asije Mrussi kwa ujinga na gilba, akajaribu hata kidogo jambo hilo kwani matokeo yake hata Ibilisi anayaogopa.Mchana ilikuwa hivi. Sasa Mrusi anatuma drone kutoa baharini. Tusubiri tuone itakuaje. Jw, anataka kumuua Biden?
View attachment 2524368
Huu ni ushahidi tosha kwamba ukraine ni salama. makombora ya urusi yamedhibitiwa barabaraBiden akiwa Ikulu na Zelensky jijini Kyiv
View attachment 2524021
Sasa mrusi anaanza kupigwa na wanawake
Hizo ndizo mbinu za kijamaa,nguvu nyingi kuliko akiliKarne hii uimara wa jeshi unapimwa kwa kupasua tofari. This is ridiculous !!!! 😂😂😂😂. Wenzao wanapima uimara wa jeshi kwa Technology aliyonayo. Labda wanafikiri frontline watu wanacheza mieleka. 😂😂😂
Belarusi anamtishia Maisha Poland kisa anashirikiana na Ukriane. Sasa leo jumapili wanatisha watu kwa kuonesha uimara wa jeshi lao. Haina tofauti na Jeshi letu tu. Eti wanapasua jiwe kifuani mara tofari kwa kichwa[emoji1787]
View attachment 2523191View attachment 2523192View attachment 2523193View attachment 2523194
Huwa najiuliza, kwanini Urusi wameamua wafe hivi ugenini?
View attachment 2523669
Angalia Ukraine ilivyo angamiza Kutuo cha mfumo wa EW cha Urusi. (ground-based, electronic warfare (EW) system.
View attachment 2523680
Hawa Warusi, handaki limegeuka kuwa kaburi lao. Walidai eti kwenye baridi ndo wanakuwa active, mbona hatuoni?
View attachment 2523684
Angalia wavamizi kutoka Urusi wanavyo windwa kwa ATGM
View attachment 2523687
HIMARS ilivyo aambalatisha Hostel ya Warusi huko Donetsk
View attachment 2523688
Leo Rais wa Marekani Joe Biden, atembelea Nchi ya Ukraine. Hapa ni akiwa Kyiv
View attachment 2524018
Mzee Biden namu-admire sana. Ni mtu wa action siyo maneno wala propaganda.