Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20230220_211906.jpg
 
Karne hii uimara wa jeshi unapimwa kwa kupasua tofari. This is ridiculous !!!! 😂😂😂😂. Wenzao wanapima uimara wa jeshi kwa Technology aliyonayo. Labda wanafikiri frontline watu wanacheza mieleka. 😂😂😂
Hizo ndizo mbinu za kijamaa,nguvu nyingi kuliko akili
sikuwahi kufikiri kama ujamaa umeficha neno ujima
 
Back
Top Bottom