figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #11,281
Laser ?Yaani Marekani ingempa Ukraine silaha za Leonidas Stryker, sasa hivi tungekua tumeachana na habari za drones. Ina uwezo wa kushusha drone kwa mionzi tu. Inavuta kama Sumaku.. So hamna haja ya risasi.
View attachment 2524531View attachment 2524532View attachment 2524533
Ukisikia akili yenye ugirigiri iliyochanganyikana na tope ndo hii.MMGEKUWA MNAJUA EDITING ILIPOFIKA NA UWEZO WA WEST IN EDITING AND FAKE PROPAGANDA MSINGEKUWA MNASHABIKIA UKRAINE
MM MIPO NA URUSI
Mr. Jaga Jaga
View attachment 2524520
Yaani Marekani ingempa Ukraine silaha za Leonidas Stryker, sasa hivi tungekua tumeachana na habari za drones. Ina uwezo wa kushusha drone kwa mionzi tu. Inavuta kama Sumaku.. So hamna haja ya risasi.
View attachment 2524531View attachment 2524532View attachment 2524533
Ukraine kuna unit inaitwa The Special Operations Forces MTR (Military Technological Revolution) Ni moto wa kuotea mbali. Kuna Snipers wengi sana.
View attachment 2524550
The MTR wenyewe hawa hapa
View attachment 2524555
Ukipenda waite fighters of the 3rd regiment of the MTR. Hawa Warusi waligoma kujisalimisha wakateketezwa
View attachment 2524556
Huyu Mrusi anadai kwenye unit yao kabaki mwenyewe. Wengine wamekufa
View attachment 2525314
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Leo ni raha tu..
View attachment 2525324
Bosi wa Wagner Prigozhin analalamika, Majenerali wa jeshi rasmi la Urusi hawakipi kikundi chake ammo(silaha), anasema wanafanya usaliti
mkubwa.
View attachment 2525641
Ngoja tuone. Ila Wanajeshi wa Ukrane waliopo Bakhmut ndo wamefanya Waina waishiwe makombora na risasi. Jinsi Urusi wanajipanga juu ya Bakhmut, hata Ukriane wanafanya hivyo. Urusi wana jeshi kubwa, sisi tuna Teknolojia. Slava Ukraine 💪Ki ukweli Wagner wanapiga mzigo. Counter offensive wanayoifanya kaskazini mwa Bakhmut huenda ikasababisha majeshi ya Ukraine yaka retreat Bakhmut soon. Boss wa Wagner yuko sahihi kulalamika upungufu wa silaha. Maana kuanzia Jan mpak Feb 2023 wamefanya kazi kubwa sana kwa kuchukua eneo kubwa Direction ya Bakhmut.
Njia kuu zote kaskazini mwa Bakhmut ziko under Russia control na sasa wameanza kusonga mbele kwa kasi kuelekea Slovyansk na Kramatorsk. Ukraine troop lazima wata retreat kama hali hii itaendelea kabla ya mwisho wa mwezi huu.
Something has to be done by Ukrainian to reinforce their troops to rescue the situation.