Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Jinsi Warusi wamepoteza tangu vita ianze
20230221_181242.jpg
 
Jana Urusi alijaribu kuishambulia Ukraine mkoa wa Kharkiv kutokea Belgorod Urusi, lakini Makombora 6 yalitua huko huko Urusi, hayajafika Ukraine😂😂😂
 
Baada Ukrane kuona hivyo, usiku huo huo nao wakatuma mzigo kwenye shule iliyopo Belgorod ya Shebekino ambayo wanajeshi wa Urusi wanaitumia kama mabweni kwa wanajeshi wao wanaopambana Kharkiv. Bado Urusi hajasema wangapi wamekufa. Ila kuna vifaa vya jeshi vimeonekana vinawaka moto
 
Bosi wa Wagner Prigozhin analalamika, Majenerali wa jeshi rasmi la Urusi hawakipi kikundi chake ammo(silaha), anasema wanafanya usaliti
mkubwa.

View attachment 2525641

Ki ukweli Wagner wanapiga mzigo. Counter offensive wanayoifanya kaskazini mwa Bakhmut huenda ikasababisha majeshi ya Ukraine yaka retreat Bakhmut soon. Boss wa Wagner yuko sahihi kulalamika upungufu wa silaha. Maana kuanzia Jan mpak Feb 2023 wamefanya kazi kubwa sana kwa kuchukua eneo kubwa Direction ya Bakhmut.

Njia kuu zote kaskazini mwa Bakhmut ziko under Russia control na sasa wameanza kusonga mbele kwa kasi kuelekea Slovyansk na Kramatorsk. Ukraine troop lazima wata retreat kama hali hii itaendelea kabla ya mwisho wa mwezi huu.

Something has to be done by Ukrainian to reinforce their troops to rescue the situation.
 
Ngoja tuone. Ila Wanajeshi wa Ukrane waliopo Bakhmut ndo wamefanya Waina waishiwe makombora na risasi. Jinsi Urusi wanajipanga juu ya Bakhmut, hata Ukriane wanafanya hivyo. Urusi wana jeshi kubwa, sisi tuna Teknolojia. Slava Ukraine 💪
 
Azov wameanza kupata nguvu. Wanataka mji wao wa Mariupol unaokaliwa na Urusi kimabavu. Jana usiku wamelipua ghala la silaha na uwanja wa ndege. Picha tutapata soon. Sababu sehemu ambayo haipo mikononi mwa ukraine si rahisi kupata picha usiku. Zinatafutwa
20230222_190202.jpg
 
Wachambuzi wanasema, Azov wangepewa HIMARS kuliko hizi Ground Launched Small Diameter Bomb(GLSDB) walizotumia Mariupol. Sababu HIMARS uharibifu ni mkubwa kukiko (GLSDB) missiles ambayo hupiga km 100. Natumaini hii itarudiwa
20230222_190640.jpg
 
Back
Top Bottom