figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #11,361
Leopard 2 zikiwa ndani ya Ukraine
View attachment 2529143
Kifauru aina ya BMP2, kikiwapelekea moto Warusi huko Bakhmut
View attachment 2529145
Ni Mungu tu anasaisia. Hapa ni Bakhmut. Pamoja na kushambuliwa kwa kombora, waliendelea kuwapelekea moto Urusi. Hakuna kukata tamaa
View attachment 2529147
Jana kuna Warusi 70 wameuawa jana huko Kreminna. Tunatafuta picha..
View attachment 2529294