In a separate video, CNN's Frederik Pleitgen reports that Russian soldiers from Irktusk are refusing to fight."The situation here has led to the disbanding of our regiment," a soldier states in the video, as others surround him. "We ask that we be allowed to join your ranks. There are 10 of us here that are combat-ready."
Dah! Wanatia hadi huruma. Huyo anaweza kuwa ni Mgambo wa Wagner au mmojawapo wa Wafungwa(Mobilised)Warusi wakiimbishwa wimbo wa raifa wa Ukraine
View attachment 2534136
Aisee! Tusifanye masihara na vita. Inasikitisha sana. "Magari" yaliyopo mitaani ni vifaru tu masaa 24/7, Sauti zinazosikika ni milipuko aidha ni risasi au makombora. Dah!Haya ndo maisha ya Bakhmut
View attachment 2534084
Idadi ya Vifaru ni sita. Hii ni picha moja wapo inaonesha. Hapo kwenye kona tu vimeondoka viwili Nikibahatika kupata picha ya vifaru vyote ntashare. Ni kazi iliyofanywa usiku wa manane na kikosi cha Security Service of Ukraine (SBU) Special Group aka "Alpha" kwa kutumia dronesMkuu; Hapo ni vifaru 6 vya Urusi. Mm nadhani ni typing error.
Sasa Mkuu, mbona unaweka Malink tena. Just andika kwa ufupi.
Reuters
Situation 'critical': Ukraine clings to Bakhmut as ...
1 hour ago
=======================
Warusi wanatafuta ushindi wa kwanza baada ya miezi mingi kwa kila namna.
vya ukraine au vya urusi?Vifaru 6 vya Ukraine vimeteketezwa Luhansk
View attachment 2534066
Typing errorvya ukraine au vya urusi?
Urusi imejidharau sana. Waliikatia Ukrane Gesi ili watu wafe kwa baridi. Lakini Baridi imeisha bila mtu kufa. Walisema wanaretreat Kherson watarudi kipindi cha baridi lakini Wameshindwa. Walisema Bakhmut baridi ikianza Wanajeshi wa Urusi watajisalimisha au watafika kwenye mahandaki, lakini wapi. Wanajeshi wa Ukraine wamekuwa wavumilivu kipindi chote.Tukifanikiwa kupindua meza huko Bakhmut, jeshi la Urusi litapoteza Morali sana, na itakuwa turning point kuelekea ushindi kamili.