Kweli mkuu; Hapo ujue Mrusi ataimba na kujiitikia mwenyewe kwani ngoma sasa inaenda kuchezwa nyumbani kwake mwenyewe.Kama Missile ya Ukraine imeweza kufika Kolomna, hakuna kizuizi cha kutokufika Moscow.
View attachment 2535847
Ah! Waapi! Wanaume wakiamua wanatua tuu.Urusi waoga. Eti wanaweka Anti-Aircraft systems kwenye majengo muhimu ili yasilipuliwe🤣🤣🤣
View attachment 2535848
Walifanya test Nzuri sana 😂😂😂😂 Warudie tena test kuelekea St. PetersburgKama Missile ya Ukraine imeweza kufika Kolomna, hakuna kizuizi cha kutokufika Moscow.
View attachment 2535847
waipige kale kabomu kadogo cha kudondosha na drone iweke moto tu.Urusi waoga. Eti wanaweka Anti-Aircraft systems kwenye majengo muhimu ili yasilipuliwe🤣🤣🤣
View attachment 2535848
.....wakaja mbio ili wawe wa kwanza kupiga picha. Wakaingia 18 ya majeshi shupavu.... .....then Wakawa wa kwanza kupigwa za usoni kisha wakapigwa picha na majeshi shupavu kuthibitisha kwamba wamemalizwa na kuteketezwa kabisa.Hawa Warusi wa Wagners walidanganywa eti Ukriane wameretrat Bakhmut, wakaja mbio ili wawe wa kwanza kupiga picha. Wakaingia 18 ya majeshi shupavu
View attachment 2535997
Hivi Mrusi amezoa wapi hawa majamaa wanauawa kila siku na bado hawamaliziki?Kazo nzuri ya Azov huko Bakhmut
View attachment 2536107
Yap! Yuko bega kwa bega na wapiganaji wake kutoa kichapo kwa Mrusi.Oleksandr Syrskyi, kamanda wa Vikosi vya Ukraine vilivyopo Mashariki mwa Ukraine, atembelea Bakhmut
View attachment 2536105
Jagajagaa kasema leo anawaondoa Vijana wake wa drone Bakhumut. It means kaona hatari. Ila kasema Vikosi vingine bado vipo Bakhumut vinapiga mzigo na kuwapelekea moto urusi. Anasema anaenda kuongeza nguvu Kwenye vikosi vingine sehemu nyingine.
View attachment 2535623
Ukraine wametengeneza Vilkha-M system yao yenye kwenda umbali mrefu kuliko HIMARS. Sasa wqtaipiga Urusi wenyewe bila kutegemea msaada wa Lonv range za NATO.
View attachment 2535688
Kama Missile ya Ukraine imeweza kufika Kolomna, hakuna kizuizi cha kutokufika Moscow.
View attachment 2535847
Wagnerites near Bakmut[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2535867
Hawa Warusi wa Wagners walidanganywa eti Ukriane wameretrat Bakhmut, wakaja mbio ili wawe wa kwanza kupiga picha. Wakaingia 18 ya majeshi shupavu
View attachment 2535997
Oleksandr Syrskyi, kamanda wa Vikosi vya Ukraine vilivyopo Mashariki mwa Ukraine, atembelea Bakhmut
View attachment 2536105
Kazo nzuri ya Azov huko Bakhmut
View attachment 2536107