Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Anayejua namna ya kupata GB za bure kwa Tigo,airtel na vodacom au VPN za Tigo na airtel aje inbox anifundishe free. Msaada nimechoka kununua bando.uje inbox
 
1. Ila video ilichukuliwa 22/12/2022.
2. Mazingira ya picha siyo ya Bakhmut nayoifahamu. Labda wataalam wa Geolocation watusidie.
Inaweza kuwa Video ni ya muda kutokana na kukosea kuchagua video wakati wa kuupload, lakini tukio ni lenyewe jana. Pia camera kama hujaset saa na tarehe inaprint wrong information.
 
Inaweza kuwa Video ni ya muda kutokana na kukosea kuchagua video wakati wa kuupload, lakini tukio ni lenyewe jana. Pia camera kama hujaset saa na tarehe inaprint wrong information.
Real!!!
1. If you upload wrong video, will it automatically change to correct video? and at the same time will change to actual event. Guys let us be serious and realistic.

2. Kwa hiyo tukio limekuwa captured na mounted outdoor camera.? Kama ni video ambayo imekuwa captured kwa kutumia military Gadgets, tangu December 2022 hawajagundua kuwa Kifaa chao kina wrong date settings. Guys we are all matured and educated. Hata mwendazake pamoja na kuwa mkatiri na mwenye uongo mwingi lakini alikuwa anatambua kuwa "Msema kweli ni mpenzi wa mungu"
 
Novobakhmutivka, Donetsk. Vifaru nane vya Urusi viliharibiwa na Kuna Wanajeshi baadhi wa Urusi waliotekwa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…